Natarajia kuhamia mkoa wa Morogoro

Natarajia kuhamia mkoa wa Morogoro

yes... kama ni mwenyeji ama unafahamu hilo eneo unaweza kunisaidia mawazo yako na nitashukuru,Mimi nimekuwa nikipaona napokuwa katika bus tuu sijawah kushuka


unataka kuishi au unataka kufanya kilimo pale..nnavyojua pale kun ulinzi sina hakik sana km kuna kilimo cha umwagiliaji kinEndelea hPo..ukitaka kilimo cha umwagiliaji rudi kijiji ki1 nyuma kinaitwa Sangasanga..pale nami nimelima..ila mindu nahakika hakuna..!maana ht samak tunazipata kwa njia za haramu kwel..Hawaruhusu
 
Wakifika Ifakara uwajulishe pia wapitilize waje wamtembelee Tate Mkuu huku Mofu! Watakula samaki wa mto Kilombero na ubwabwa mpya mpaka wakimbie.


😂😂😂Jaman samaki wa ifakara ni tasteless sijawah ona..wabayaaa...hawana ladhan zaidi ya kusulubika na mifupa😏😏
 
Hata kama unakodisha kuanzia acre 10?
Inategemea na eneo mkuu maeneo ambayo ni mazuri mpaka laki wanakodisha yale yanayowahi kuingiza maji kwa sabini unapata ni umakini unahitajika kwenye kukodi shamba
 
Back
Top Bottom