Natarajia kuhamia mkoa wa Morogoro

Natarajia kuhamia mkoa wa Morogoro

Mkuu kumbe we ni jirani yangu hahaha mi nipo tu hapa mngeta japo kwa sasa nipo kahama ila ntarudi soon

Hongera! Mngeta nimetembelea sana miaka ya mwanzoni mwa 2000. Kuanzia Mkusi, mchombe yenyewe, Lukolongo, Kotako hadi Mkangawalo; Pande zote hizo nazipata vizuri. Hayo maeneo ya Mngeta na Mbingu yamebarikiwa sana udongo mzuri na wenye rutuba. Ndizi na mpunga kwa sana.
 
Achana na kilimo mkuu (hii naongea nikiwa serious kbs)cha kufanya ww nunua mazao tu!kila laheri
Kama hana mtaji je utamsaidia???. Kilimo huwa ni sehemu ya kutafutia mtaji kwanza, kishapo ndipo mtu huweza kuanzisha biashara nyingine km vile Kununua Mazao, Duka, Mbao, n.k.Hivyo usimshauri mtu kufanya biashara ya ununuzi wa Nafaka ikiwa hujui km ana mtaji au lah!!!.
 
unahamia sehemu gani?,mimi next week naenda Mindu kufanya research kuona kama mazingira ni conducive kwa aina ya maisha nayoyahitaji, majibu yakiwa sawa nadhan mpaka mwezi wa 8 panapo uhai nitakuwa nimehamisha base yangu toka Pawaga na kwenda kuwa mkazi wa Morogoro,Napataman sana Kigoma maeneo ya mto malagalasi maana nimeishi pale kwa miaka kadhaa hivyo napafaham kias ila kwasasa umri umeniacha na sitaki kusumbua watu na kuteketeza resources kidogo nitakazoacha kwa kuwaingiza katika ghalama ya kusafirisha mwili nitakapokuwa nimefariki hivyo siwezi kwenda kuishi kule
Aiseee kifo tena
 
Halafu hizo tabia zenu zakusema moro kuna Fulsa za kilimo sijuwi nani anawadanganyaga Lima huko uliko utafanikiwa zaid kuliko hayo Nawaz yako
Nakama hujawahi kulima usiingie kichwakichwa
 
heshima kwenu wanajf,,
Natarajia kuhamia mkoa wa Morogoro hivi karibuni,, Sababu iliyonifanya kuuchagua mkoa huu ni kwamba una fursa nyingi za kilimo,, hivyo kwa wenyeji au mlio na uzoefu na mkoa huu naombeni mnipe ni maeneo yapi yanafaa kwa kilimo cha Mahindi na Mpunga,,
nawasilisha.
IFAKARA NDANI YA 3YRS USHATOBOA
 
Kama hana mtaji je utamsaidia???. Kilimo huwa ni sehemu ya kutafutia mtaji kwanza, kishapo ndipo mtu huweza kuanzisha biashara nyingine km vile Kununua Mazao, Duka, Mbao, n.k.Hivyo usimshauri mtu kufanya biashara ya ununuzi wa Nafaka ikiwa hujui km ana mtaji au lah!!!.


😅😅😅kwahyo kilimo ndo kitampa mtaji..😅😅😅
 
unataka kuishi au unataka kufanya kilimo pale..nnavyojua pale kun ulinzi sina hakik sana km kuna kilimo cha umwagiliaji kinEndelea hPo..ukitaka kilimo cha umwagiliaji rudi kijiji ki1 nyuma kinaitwa Sangasanga..pale nami nimelima..ila mindu nahakika hakuna..!maana ht samak tunazipata kwa njia za haramu kwel..Hawaruhusu
mmmh
 
Write your reply...Karibu Morogoro

Kwa shughuli za Kilimo maeneo haya yataweza kukufaa
Ifakara (Mpunga )
Turiani (Mpunga)
Kilosa ( Mpunga, Mahindi na Vitunguu)
Mgeta ( Kilimo cha Mazao Mboga)
Mkuyuni, Matombo, Kinole mpaka Kisaki ( Kilimo cha Matunda )
 
Back
Top Bottom