Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,543
Dah pole sanaMifugo mzee baba ipp KILOSA😂😂😂..nilitelekeza eka za tikiti kisa ngombe wa mbunge m1😂😂😂..kule wenye mang'ombe ndo wenye sauti...sina hamu na msowela jamani..!
Hata juzi nimeona ITV uko uko kilosa
Watu wanakaribia ivisha jamaa kama kawaida wakapitisha ng'ombe; iliniuma sana
