Natarajia kufunga ndoa mwezi wa nne

Natarajia kufunga ndoa mwezi wa nne

Vikao vya harusi vinafanyikia wapi tuju to pledge ?
 
Wazo zuri, sasa majina yetu humu kama ni kama giLESi sina hakika hapa style ya kuchanga inakuwaje!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana giLESi.. kila la kheri katika mchakato huu wa kufikia hatua muhimu maishani.



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mbona wote mnaishia kumpa mchango wa hali lakin wa mali hatuuoni,nadhan sasa michango ya hali imetosha twasubiri ya mali.kha! Hadi mnakera!
 
Back
Top Bottom