Natapa shida kwa lain ya halotel

Natapa shida kwa lain ya halotel

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,015
Reaction score
10,040
wakuu natumia samsung note 8 shida yangu sasa ni kuwa nikiweka laini ya halotel napata ujumbe unasema USIMCARD REMOVED RESTART UR PHONE na automatical inajirestart yenyewe but kwa lain zingine hakuna tatizo kama hilo
msaada please
 
Umewahi kuitumia line hiyo kwenye simu tofauti na hiyo?
 
Ilinitokezea na mimi wakanipa line nyengine ilikuwa tatizo yule wakala alikosea kitu ikabidi wanipatie line nyengine.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ilinitokezea na mimi wakanipa line nyengine ilikuwa tatizo yule wakala alikosea kitu ikabidi wanipatie line nyengine.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

sasa nikipiga simu huduma kwa wateja wanasema line yangu iko lose haijashika vizuri
sasa cha ajabu why isiwe hakuna network na badala yake simu inajirestat?
 
sasa nikipiga simu huduma kwa wateja wanasema line yangu iko lose haijashika vizuri
sasa cha ajabu why isiwe hakuna network na badala yake simu inajirestat?
Rudi kwa wakala ulipo ipata hio line yeye ndio atamalizana nao, customer service watakuumiza kichwa tu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Rudi kwa wakala ulipo ipata hio line yeye ndio atamalizana nao, customer service watakuumiza kichwa tu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

nimeenda na yy hajui anasema amefanya usajiri vizuri kabisa

kweli hawa customer service ni pasua kichwa sana
 
Usisahau kuedit heading pia,natapa badala ya Napata
 
Back
Top Bottom