Natangaza rasmi...

Natangaza rasmi...

KaziIendelee

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
327
Reaction score
231
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.
 
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeja kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.

Hongera ndugu yangu. Nami natangaza kujiunga na Chadema rasmi baada ya kuondolewa nyoka huyo ambaye amekuwa akikikosha amani chama. Ni bora alivotokomea! Hurreeeeeeeee!
 
Tatizo mmelelewa na CCM ambayo haiwezi kuwajibisha viongozi wake wanapo kosea...

Nia ni kujenga Chama siyo kubomoa ..Kama hilo limekuudhi safari njema...

Hatuwezi kuwa na Chama kinacho zungumza "majina" ya watu...

CDM imethubutu ..CCM waige kama wanaweza..
 
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.

Hilooooooo
 
Lini ulikuaga Chadema we Mwigu? ?
 
hongera mkuu mimi binafsi sina chama chochote wote wazinguaji. vyama pinzan vinalalamikia demokrasia wakat waho hawana demokrasia.

kila siku wenyeviti na wagombeaji urais ni wale wale yani wako kulinda maslahi tu ukiwa mkweli wanakuondoa.

natangaza rasmi sina chama chochote wote wachumia tumbo tena upinzan ndio hatari zaidi
 
kafie mbele na ikiwezekana uwe chakula ya fisi (ccm).
maana gambaz kwa mizoga hawajambo....
 
Kumbe wewe ni mshabiki wa zito sio mwanachama! Haya kahamie FDLR
 
Back
Top Bottom