Natangaza rasmi...

Natangaza rasmi...

Baada ya kutoka Denmark mwaka huu mwezi wa nne,nilipendezwa sana na chama cha CDM,ila kwa sasa,HAPANA
 
Unataka tujuw kama ulikuwa huko.....watu wa huo mkoa kwa ushamba hamjambo
 
Wakati unajiunga na chadema ulibandika uzi hapa? We zinamis
 
...kwa element za ukabila hufai kuwepo chadema maana agenda yenu ya ukabila haikufanikiwa...
 
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.

Tumekuskia, safari njema..
 
unasubiri nini,. Hujafika tu??

Shame!!!
 
hongera mkuu mimi binafsi sina chama chochote wote wazinguaji. vyama pinzan vinalalamikia demokrasia wakat waho hawana demokrasia.

kila siku wenyeviti na wagombeaji urais ni wale wale yani wako kulinda maslahi tu ukiwa mkweli wanakuondoa.

natangaza rasmi sina chama chochote wote wachumia tumbo tena upinzan ndio hatari zaidi

Binafsi nilijua nipo peke yangu hapa Jf kwa kutokuwa na Chama. Mi ni muda tu nimeamua kutokuwa na chama. Kuna siku nilisimuliwa namna Z.Kabwe anavyokula CCM na CDM, nilishangaa sana. Lakini CDM wamechelewa saaaana.
 
CDM kumbe mnara wa sabuni ikiachwa ndani inamomonyoka. Nilijua watakapojitambu wasio kina Mangi Vila ni mabwashe watatoka baruuu, huko watabaki matarumbeta na mavuvuzela.
 
Chadema haikuhitaji kwani wewe ni nani? Wafiachama wapo Mamilioni, Ukishuka wewe wanapanda elf kumi, Chezeya Chadema wewe.
 
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.
Nenda na amani.
 
Jambo lilo jema sana na linalotutia moyo sana, ni kwamba huna impact yoyote kwa chama. ,yaani wewe uwepo au uondoke huna athari yoxote kwetu.. Ametolewa Zitto na Kitila ambao walikuwa very influential sembuse wewe?
 
Back
Top Bottom