Natangaza Rasmi Najiondoa JF.

Natangaza Rasmi Najiondoa JF.

Halafu huyu Arushaone,mbona bado ana log in tangu jana,hadi dakika 15 zilizopita?
Au ndio sitaki....nataka?
 
Last edited by a moderator:
Duh! Arushaone hebu sema sasa hivi kabla haujakamata Ndyofu,nini inayokusibu Kamanda wangu!
 
Last edited by a moderator:
mpendwa teja huwa haagi kijiweni, akiklea anajizimikia tu tartiiiiibuuu. kila la kheri kama ni kweli
 
Huyu kiumbe aitwaye Arushaone ni kweli kajitoa au kawekwa ndani ya bottle ama kalambwa BUN?? Kama yupo nakemea hilo pepo la kuondoka jf lishindwe na lilegee na kumwachia uhuru wa kurudi jf. AMEN.
 
Last edited by a moderator:
aondoke aende wapi unachezea addiction ya jf wewe? ataenda fb siku mbili then mwenyewe atarudi huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom