Natangaza Rasmi Najiondoa JF.

Natangaza Rasmi Najiondoa JF.

one thing i'll surely miss from u buddy, ni ile mi-like ya kumwaga...
 
Chezea mimi, nanyang'anya mtu demu hadi anaamua kujitoa JF!! Bado yule loya Ruta, Figga na mwengine mwenye ubavu anyooshe kidole. Ataiona JF chungu.
I love u Madame B, I'll do whatever it takes to remain aloooone!! Dadeky!

I love U too Chilli
:lol:
 
Last edited by a moderator:
unamanisha unalog out au?. basi log out jf halafu kesho uwahi kulogin sawa mkuu?. Mimi mwenyewe nikishiba kilimanjaro yananijia mawazo kama yako. mia
 
Chezea mimi, nanyang'anya mtu demu hadi anaamua kujitoa JF!! Bado yule loya Ruta, Figga na mwengine mwenye ubavu anyooshe kidole. Ataiona JF chungu.
I love u Madame B, I'll do whatever it takes to remain aloooone!! Dadeky!

Nicas Mtei na Arushaone naomba ruksa kwenu, nimnasishe mtu au nisimnasishe? mimi nipo temeke. mia
 
Last edited by a moderator:
....lakini nafanya yote hayo huku nikiwa na uwoga mkuu Moyoni mwangu.

I understand how u feel, hii ni kawaida hasa ukimpoteza rafiki wa karibu kama Arushaone, lakini with time and me next to u, Utamsahau kabisaaaaaa!
 
Heee? What? Mwalm Madame B hapa kama panahusu hebu kuja pm fasta
 
Last edited by a moderator:
Huna ubavu huo figganigga, nini TMK mambo yote msalabani B'moyo bana. We muulize Arushaone anaujua huu muziki.

ndo ujiulize. sitaki utume watu waje kukuombea msamaha. nakupa onyo tu!. kama unabisha endelea. mwenzio anayejua kashakuambia anaogopa. shaurilo!. mia
 
kwani ulivyojiunga jf uliweka public announcement!!kama vipi sepa kimya kimya arife!!!
 
Mwanafunzi wangu Kaizer,
Mwalimuo napotea njia hvo.
Yani nnavyogombewa kama njugu.
Ngoja nione mwisho wa Picha litakuaje.

Hapana mwal Madame B. Mwanafunzi wako nakupenda sitak upoteee. Nani wanakuchokoza ivi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom