Natangaza Rasmi Najiondoa JF.

Natangaza Rasmi Najiondoa JF.

Akili ya pombe hiyo wacha maneno yako hahaaaaaaaa. kuna mtu aliwahi kusema pombe siyo chai..............
 
Mungi akili ya ndyofu changanya na ya kuambiwa
Erickb52 hebu muambie jamaa aongee akiwa ndyofu haziko kichwani
Arushaone toa na kemea hilo pepo la ndyofu halafu uje hapa ulete story
 
Last edited by a moderator:
Mungi akili ya ndyofu changanya na ya kuambiwa
Erickb52 hebu muambie jamaa aongee akiwa ndyofu haziko kichwani
Arushaone toa na kemea hilo pepo la ndyofu halafu uje hapa ulete story

It is almost an hour, he is still online........................... si nlikuambia siyo yeye ndyofu changanya na kitu cha PakaJimmy................ nyagi si mchezo............
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kuna mwana siasa alisema hivi

"CCm si baba wala Mama yangu"

jf si Mama wala Baba wa mtu mpaka asiiache!

Kila la kheri
Ni kiangalia hapa naona kuna member watano wameongezeka
 
Chezea mimi, nanyang'anya mtu demu hadi anaamua kujitoa JF!! Bado yule loya Ruta, Figga na mwengine mwenye ubavu anyooshe kidole. Ataiona JF chungu.
I love u Madame B, I'll do whatever it takes to remain aloooone!! Dadeky!

..kumbe wewe ndo muharibifu eeeh???..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom