nakubaliana na wewe kuhusu JK tatizo linakuja yeye ndo aliwateua woote hao anashindwaje kuwadhibiti?
au ndo alisaidiwa na lowasa.
hoja yako ni dhaifu sana
bwana ta kamugisha,tatizo hapa ni kansa ya mfumo wa naizesheni uliotapakaa ndani ya uongozi wa tanzania(unakumbuka nguvu ya tsunami?). Na kwa bahati mbaya sana rais ndio kaizari wetu, ndiye final say kwa kila jambo. Nani anasaini certificate ya kuongeza posho za wabunge?nani anateuwa igp? Dpp? Pccb,mwanasheria mkuu? Wakuu wa mikoa/wilaya? Wakurugenzi? Ect? Hatuna mifumo inayojitegemea na inayoweza kujisahihisha na kujiangalia yenyewe. Mifumo hii ilikufa tangu enzi za mwalimu. Madaraka yote yalikuwa centralized na hivyo kufanya uraisi wa kifalme,na kwa maana hiyo maamuzi yote ya msingi. Hivyo kwa bahati mbaya(nasema kwa bahati mbaya kwa sababu hipaswi kuwa hiyvo) jk ndio mwenye wajibu mkuu wa kuhakihikisha mtumbwi unaelekea kunakotakiwa mpaka hapo mifumo yetu itakapobadilikia. Ndiye mkurugenzi mkuu wa tanzania na kazi yake ni kuwapata key performance areas hao mameneja wake(wasaidizi) na kama hawa-perform anawaachisha kazi. Na kama jk halijuwi hili basi hafai kuwa rais. Hivyo tatizo kuu la serikali yetu kuto-perform ni jk. Aidha naizesheni imemwelemea,uwezo wake ni mdogo, hajali(maana anajuwa nguvu alizokuwa nazo ni kubwa na hamna anayeweza kumfanya chochote) au serikali yake inaendeshwa na waliomweka madarakani(kumbuka nguvu ya tsunami haikuwa ni nguvu ya umma ila fedha na vyombo vya habari vilitumika kuwatengenezea wananchi nguvu ya umma. Na hivyo kikombe cha uwajibikaji kwa tanzania hawezi kukiepuka,lazima akinywe
kaka mods wamesema ubadilishe avator yakoni kuwapeleka jela ya watoto kwanza, wasipojifunza nawaachia rahana kama babayao.
Ametumia Uhuru wake wa kutoa maoni kama wewe unavyoamini Regardless Lowasa na JK wote wawili hawana sifa za kuwa Marais wa nchi hii.
Tanzania tunahitaji King Cobra wetu kama Michael Sata ambaye atasafisha ufisadi wote nchi hii. Lowasa na JK wote ni mafisadi na wana mikono michafu hakuna mwenye ubavu wa kuleta uadilifu.
Tukumbuke kuwa hata ukiwa mchapa kazi kwa viwango gani lakini kama ni mla rushwa na fisadi wewe hufai, unatakiwa uazishe kampuni zako binafsi kama alivyofanya Mzee Mengi na Bakhresa, hawa wote ni mafisadi ila kwa sababu wanaendesha biashara zao binafsi sisi hatuna maneno nao.
ni kuwapeleka jela ya watoto kwanza, wasipojifunza nawaachia rahana kama babayao.
Nimetafakari sana mwenendo wa nchi yangu na kugundua kuwa mwenye tatizo si rais, yaani jakaya Mrisho Kikwete.
Nimebaini kuwa huyu jamaa anaipenda sana nchi yake na watu wake tena kwa dhati, ila tatizo linakuja kwa viongozi au wasaidizi wake aliowachagua, chukulia mfano rahisi hawa mawaziri wake, wanashindwa hata kutoa mahamuzi ya maana mpaka rais aingilie kati! vingozi wa wizara ya afya wanasubiri nini kujiuzuru au mpaka JK aseme ndo wajiuzuru?
Kwanini kila mtu anakuwa msemaji wa chama? Mara Lowasa kasema hivi, mara Kinana, mara Sumaye, mara Pinda, mara Makinda, mara Sitta, mara Nyalandu, mara Nape, mara Mukama!
Hapa tatizo ni urais wa 2015. Hata kama anakosea ndo rais wetu mpaka baada ya miaka 4 iliyobaki, JK atafanya mangapi kama wasaidizi wake wanawaza urais badala ya kumsaidia kutatua kelo za walalahoi? kila msaidizi wake amekuwa mchumia tumbo! kuanzia sasa JK nakuunga mkono, piga wote chini hawa mawaziri ambao hawakusaidii weka wapya bado una muda wa kutosha kurudisha mvuto wako na wachama.
Tengeneza serikali ya wanaokutii na ambao wako tayari kukuunga mkono katika kuinua uchumi wa wananchi. Anza na wakuu wa wilaya na wakurugenzi wengi wapo tu hawakusaidii kitu zaidi ya kujimilikisha maaridhi ya wananchi na kula fedha za pembejeo. Angalia maliasili kwa jicho la kulia wanakuzunguka na kuuza wanyama, si ajabu hata vifaru uliowaleta wameshawauza.
Mzee kuwa mkali usiwachekee wanakudharu miaka 4 iliyobaki inakutosha kutimiza ahadi zako. Kuanzia sasa natangaza rasmi kuunga mkono mpaka utakapo staafu ila kumbuka kufanya maamuzi magumu.
Pinda hakusaidii ameshachoka anakuongezea mzigo nae piga chini akalime tu weka mtu wa kukusaidia katka nafasi hii.
Haya ni mawazo yangu kwa rais wangu JK, tafadhali nikosoe kwa ustaarabu nilipokosea.
Naomba kuwasilisha.

kaka mods wamesema ubadilishe avator yako
Maskini Ma Kamugisha, hata ungemuunga mguu wewe na wazazi wako wote bado ni yale yale. Sema unatafuta umaarufu na kuganga njaa. Hata hivyo kwa vile Salva Rweyemamu na Dodorous Kamala wako kwenye payroll ya JK, huna ujanja utafuata. Njaa nyingine matatizo matupu. Ama kweli wasohaya wana mji wao.
Mkuu ukiweza badili avatar yako.......nakosa raha nikiiona vile miye mutu ya Msimbazi............:lol::lol: