Natangaza Nia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza Nia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by James Lwakatare, Jun 21, 2011.

 1. J

  James Lwakatare Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba ridhaa yenu ndugu watanzania,niwawakilishe mjengoni kwa miaka mitano kuanzia 2020-'25 kupitia jimbo la Nkenge,Kagera. Thn nitakua sawia kuwataka ridhaa yenu kuongoza nchi mwaka 2025-.. Roho inauma kuona 2nakwisha, msihofu mtetezi anakuja.PAMOJA TUTAWEZA!
   
 2. F

  Frank lwakatare Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nakuunga mkono kaka.nkenge wanakosa huduma muhimu sana.jipange utimize ndoto zako kama zangu kwa wana wabukoba
   
 3. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  aise mwaka huu unaingia form 2 vile eeeh??
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hakikisha kwanza una pass mtihani wa taifa wa Form Two.
   
Loading...