Natangaza nampenda "Smile"

Am happy umependa gauni..
namtafuta designer mzuri aandae wedding accessories zote!
Thx darling,as u say mie kwangu ni swadakta tu!
Km ujuavo mie ww ndio wangu king kwako sina kiswahili kingi!!
 
Duh.....hapa sijui mwisho wa siku utakuwaje ila mi naomba kadi ya mchango wa harusi mi na familia yangu au hakuna kuchangia?
 
Duh.....hapa sijui mwisho wa siku utakuwaje ila mi naomba kadi ya mchango wa harusi mi na familia yangu au hakuna kuchangia?
Kaizer,
Hii haina kuchangia...kila mtu anakaribishwa, si unaona arrangement zote zinafanyiwa hapa kwa uwazi?
 
Umejuaje kama ni dada mmmmmh
 
Duh.....hapa sijui mwisho wa siku utakuwaje ila mi naomba kadi ya mchango wa harusi mi na familia yangu au hakuna kuchangia?
Wow!my Big shem,ur mostly well come jaman,km shem mkubwa wa familia nakutambulisha rasmi kuwa Rejao ndio chaguo langu na maandalizi ya harusi ndio yanaendelea,naomba unifikishie salam kwa familia nzima,

Special hi kwa my Big sisy!!
 
Afu wewe
Ujue umegusa firigisi zangu??

Ngoja huyu canta, kama hajabadilika upepo utajibeba
Na hayo macho yako ndo yanakupa kiburi
Ntahikikisha mchicha haulimwi Dar tena
Nione utaonaje bila mchicha wangu

Na smile keshabebwa na TF
na mimi siyataki tena mapenzi yako ya kubip mara leo Beyshanga, mara Babu Asprin, mara The bossi... Ngoja nistick kwa canta wangu!
 
na mimi siyataki tena mapenzi yako ya kubip mara leo Beyshanga, mara Babu Asprin, mara The bossi... Ngoja nistick kwa canta wangu!
Ooohh!my swty darling,come this way plz,

Nimekuandalia ile kitu unapenda,
Nikulishe na matunda,
Najua baadhi hawajapenda,
Hata wasipotaka nitakupenda,
Kwa mawazo watabakia kukonda
Penzi lako nitalilinda,
Mpaka kifo kitakapo tutenga!!!
 
Huu msredi umeniliza wivu sana...

Ngoja nisepe...:A S-coffee:
Here ur my swty babu,
Km unavoona maandalizi ya ya harusi yanaendelea,
Na rejao ndio chaguo langu,
Kwa heshima yako nakuomba utupe baraka zako,km ulivoniahidi baada ya ukaguzi wako.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…