Natangaza nampenda "Smile"

Maytina, nikija Arusha wewe ndio utakuwa ubavu wangu...kwa sasa waachie wa humu mjini wanifaidi!!!

Rejao
Ukifika arusha panda basi la Mtei njoo Manyara ..ntakuwa stendi nakusubiri ..
 
mmmh kumbe wewe ni mgeni hapa, jaribu kuuliza memberz wakongwe kuhusu sisi
 
ahahaaa marytina nikupunguzie nilikuambia njoo dar huku achana na wamasai na wajaluo huko huku raha hapa tunachit chat pia kanipm keshanitumia laki mbili za tax kwa mpesa nimdate holiday inn kwa dinner
hata wakutumie milioni bado kile kidude /kitai kwenye nanilii ya mmasai nitakimiss so ntajikuta nageuka malaya bureeee
 
Maytina, nikija Arusha wewe ndio utakuwa ubavu wangu...kwa sasa waachie wa humu mjini wanifaidi!!!
ujiandae kisawasawa kama vipi ni bora utumie ERECTOR 100 usije ukaniboa nakajiondokea zangu
 
Rejao
Ukifika arusha panda basi la Mtei njoo Manyara ..ntakuwa stendi nakusubiri ..
shosti tuheshimiane!!!!
long time mnamdiss Rejao sasa amekuwa wangu mnaanza kunipora.........endeleeni na wale wa kwenu pls msinigusie REJAO
 
Duh, kumbe huku kuna wake za watu? 🙁
 
Rejao rejaoa reajao
ujue wee ni kidumu chama cha congosho changu???

Smile si mliachana aliposafiri?
Never mind babu ODM na bepari la kihaya wapo.
 
Hapa inabidi nijidai kama sijaona post ya yeyote!! Sitaki kesi mie!!
 
Hv na wadada tunaruhucwa kutangaza nia jaman?maana kuna mkaka humu ananisababishia tetemeko la moyo lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…