Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

Duuuh, maneno mazito sana kwa January kwani Kafanyaje mtu wangu, mbona kuuchonga sifa tu!...
 
HUYO JANUARY MaGAMBA NI MNAFIKI NA MCHAWI TOKA ZAMANI

Hapa Ruttashobolwa alikuwa bado Hajaugua Ugonjwa wa Akili.
Ama alikuwa hajakalia Dudu bado ambalo baada ya kulikalia amejisahahu kabisa kwa Raha aliyopata Mpaka kujikuta Uwezo wake ki Fikra unafikia tamati
 
Last edited by a moderator:

Hivi wewe kiswahili umesomea wapi? Au unafikiri ni ujanja kutumia hizo "x"?
hadi hapa nakuvalue kama MBULULA
 
hata hivyo umechelewa kumdharau ilitakiwa utambue kuwa jamaa ilistahili kudharauliwa kitambo
 
Na wewe huwezi kunilazimisha nimpende hata kama alijieleza vizuri wakati wa kutafuta wadhamini yupo mwigulu best zaidi yake japokuwa nae mkorofi alinikera kwakuchanachana bajeti mbadala ya upinzani

Hahaaaa akikukera unaleta janja ya nyani Ukubali January amewapiga bao. ...
Utachekea chooni tu hakuna namna. ...
 
ccm wanawahadaa wananchi kwa kujifanya hawamtaki lowasa nahofia lowasa kupita ccm.. lakin sihofii ccm kuchukua kiti cha urais tena
 

Mbona kama mnatetemeka sana.....Baada ya muda mfupi pumba na mchele vitajitenga na mtapotea humu ndani kimyakimya.
poleni kizazi cha Mvi Nyeupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…