Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi

Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi

Mwanafikra huru

Senior Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
141
Reaction score
18
¿ MAWAZO HURU

mim....................Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi ikiwa yafuatayo yatatimizwa

  1. Zitto Z Kabwe awe Mkt wa CHADEMA taifa na 2015 awe ndio mgombea urais CHADEMA
  2. Mkt wa BAVICHA awe Habib Mchange badala ya Heche John wa sasa
  3. Katibu mkuu CHADEMA atoke mikoa ya pwani na Mtwara ili kuleta uwiano wa kanda kwa sababu chama kwa sasa ni cha kitaifa
  4. John Heche akagombee udiwani Tarime naa achane na ndoto za kukombea ubunge, ubunge amuachie Charles Mwera
 
5 Mbowe na Dr slaa wasiwe na nafsi zozote ndani ya chama wabaki kuwa washauri tu

6 Vijana wanaoitwa MASALIA wapewe nafsi sawa na waongoze vugu vugu la mabadiliko M4C

7 Juliana Shonza awe Mkt wa BAWACHA( Baraza za Wabawake CHADEMA) ili kukipa chama sura ya kitaifa na pia kuuondoa dhana ya kuwapatta wabunge viti maalumu kwa kuangalia nani ni ndugu wa nani

kwa mashart hayo machcache ntajiunga Chadema
Peoplesssssssssssssss
 
Mjinga wa wajinga nenda kwenye magamba naona wewe ni mamluki. Na wasi wasi na wewe kuwa ni dikteta maana unayayataka wewe ndo yawe hata familia yako ina kazi.
 
pagumu hapo.mabadiliko ya uongozi huja taratibu na hufuata taratibu na sheria sio tu kuamka na kubadili utaua chama.
 
Yakifanyika hayo ndio cdm itakuwa ya kitaifa. (⊙o&#8857😉

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Hatuwezi kutupa kitu kwenya jalala na baada ya mda tukaona kinafaa, tukakiokota na kukirudisha kama ccm kwa mangula. Kama kinafaa kitakuja chenyewe
 
¿ MAWAZO HURU

mim....................Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi ikiwa yafuatayo yatatimizwa

  1. Zitto Z Kabwe awe Mkt wa CHADEMA taifa na 2015 awe ndio mgombea urais CHADEMA
  2. Mkt wa BAVICHA awe Habib Mchange badala ya Heche John wa sasa
  3. Katibu mkuu CHADEMA atoke mikoa ya pwani na Mtwara ili kuleta uwiano wa kanda kwa sababu chama kwa sasa ni cha kitaifa
  4. John Heche akagombee udiwani Tarime naa achane na ndoto za kukombea ubunge, ubunge amuachie Charles Mwera

Ufinyu wa fikra huu...eti unasajili ID JF ili tu uje kupinga Chadema na harakati za ukombozi wa nchi hii. Ni utaahira kama unafikiri matatizo ya kutokukubalika kwa CCM sasa utatuzi wake ni kuanzisha thread hapa JF.
 
Namashaka sana na yafuatayo
Akili yako sio yakawaida
Umetumwa
Unatumika
Masalia
Gamba
Njaa
Mwongo
Mlopokaji
Kawambie ulikoenda hujawakuta ujumbe haujafka
 
Yakifanyika yote haya wewe utakuwa nani sasa, maana wewe mtu mmoja utakuwa umefanya mageuzi ya chama chenye mamilioni wanachama bila kuwahusisha.
Ninaamini yote unayotaka uyabadilishe yalifanywa wanachama walio wengi.
Je usipohamia CDM ni madhara gani yatayotokea ili tupime umuhimu wa ujio wako?.
 
¿ MAWAZO HURU

mim....................Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi ikiwa yafuatayo yatatimizwa

  1. Zitto Z Kabwe awe Mkt wa CHADEMA taifa na 2015 awe ndio mgombea urais CHADEMA
  2. Mkt wa BAVICHA awe Habib Mchange badala ya Heche John wa sasa
  3. Katibu mkuu CHADEMA atoke mikoa ya pwani na Mtwara ili kuleta uwiano wa kanda kwa sababu chama kwa sasa ni cha kitaifa
  4. John Heche akagombee udiwani Tarime naa achane na ndoto za kukombea ubunge, ubunge amuachie Charles Mwera
Mawazo mgando....
 
Wameshakutuma!!! Waambie wakashughulikia matatizo ya gas mtwara!! CDM hawaiwezi!!! Subirini 2015!!! Naona umekuja mahususi kuzima moto!!! Huu hauzimiki!!! Hakuna anti-fire inaweza zima huu!! Kazimeni ule wa Mtwara!! Na hakika hamuuwezi!! Nakuona umekuja juzi!!Join Date : 17th January 2013
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received:1
Likes Given:0
 
¿ MAWAZO HURU

mim....................Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi ikiwa yafuatayo yatatimizwa

  1. Zitto Z Kabwe awe Mkt wa CHADEMA taifa na 2015 awe ndio mgombea urais CHADEMA
  2. Mkt wa BAVICHA awe Habib Mchange badala ya Heche John wa sasa
  3. Katibu mkuu CHADEMA atoke mikoa ya pwani na Mtwara ili kuleta uwiano wa kanda kwa sababu chama kwa sasa ni cha kitaifa
  4. John Heche akagombee udiwani Tarime naa achane na ndoto za kukombea ubunge, ubunge amuachie Charles Mwera

....hili wazo lako na mkeo analiunga mkono...? maana nauhakika kwa jinsi ninavyomjua hakubaliani na uj#%ga wako huu!!
 
  1. John Heche akagombee udiwani Tarime naa achane na ndoto za kukombea ubunge, ubunge amuachie Charles Mwera
Yaani amuachie mwanachama wa CUF agombee ubunge? Kweli jina lako linaeleza unachofanyiwaga
 
Back
Top Bottom