Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi

Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi

Nadhani jukwaa la jokes linamfaa huyu mwenye post. Maisha magumu ya nchi hii yanafanya vijana tutumike vibaya. Pole sana aisee

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Haya ni mawazo mgando,ungeeleweka kama ungetujuza kwanza unatoka chama gani kuhamia cdm, pili utafanya nini tofauti na mamilioni ya wanachama wa cdm waliopo.
 
Hawa wauza madawa ya kulevya wanatuharibia sana jamii yetu"
 
Mwanafira huruAliye toroka mirembe awe na point ngumu kama hizo
jibuni hoja kwa hoja Jina lako tuu linaoonyesha unachafuliwa wewe
 
Unasumbuliwa na gamba la Chama Cha Mafisadi. Gamba ulilonalo linakufanya uwe na mawazo mgando.
 
Du naona sasa mnaanza kutumia uhuru wa kujieleza na kutoa maoni vibaya. na hilo jina lako du????
 
Kwani akisemwa Dr slaa na Mbowe umetumwa

akisemwa Zitto?? No body care

kama chadema ni chama kinachofanya kazi kama taasisi na ambavyo watanzania wote wana nafsi sawa jibu hoja zangu na sio matusi
 
Kutumwa ni msamiati mpya sasa kwa kila mwenye hafifu juu ya chama na taswira ya chama chenye kiutwa ni chama chenye kupigania haki ya watanzania wote na sio chama chenye malengo ya kuwafanya watnzania biashara


haya twende
 
5 Mbowe na Dr slaa wasiwe na nafsi zozote ndani ya chama wabaki kuwa washauri tu

6 Vijana wanaoitwa MASALIA wapewe nafsi sawa na waongoze vugu vugu la mabadiliko M4C

7 Juliana Shonza awe Mkt wa BAWACHA( Baraza za Wabawake CHADEMA) ili kukipa chama sura ya kitaifa na pia kuuondoa dhana ya kuwapatta wabunge viti maalumu kwa kuangalia nani ni ndugu wa nani

kwa mashart hayo machcache ntajiunga Chadema
Peoplesssssssssssssss

Hayo yote yanapatikana ccm, Nenda huko moja kwa moja bila kuchelewa na kupoteza muda dada
 
Wewe ni vuvuzela tena nadhanii unapigiwa na 0713...................................kwa kua wewe ni masalia wa kina shoza mpuzi wa mwaka hivi unajua hao kina mbowe dr slaa wameinvest nini cdm idiot cdm hatukiitaji na pia hata zitto wako na shibuda to hell.zitto tuliwaza sana 2020 ndo atakuwa anafaa aendee na mabadiliko ya mellenea
 
mleta mada kilicho mponza ajaeleza vizuri kwa nini anataka hivyo. hizi ni chuki binafsi za huyu mleta mada . Huyu jamaa asituletee udikteta wa ccm kwa hoja zake dhaifu. DR.SLAA IS STRONG AND NOT COWARD BUT IT IS THE PEOPLE WHO DO NOT UNDERSTAND HIM!!!
 
Ole wao wanyenyekeao wanaume wenzao...mungu yu mwema tu kuna siku utapakimbia hapa mjini siku si nyingi... I will alwayz love cdm .peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeers!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Wewe jamaa wenzako wako Kigoma wanacheza ile ngoma ya........, vipi wewe gari moshi ilikuacha nini?
 
Back
Top Bottom