Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi

Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi

Huyu katoroka mirembe lini?? Inaonekana wahudumu wa mirembe hawako serious...
 
¿ MAWAZO HURU

mim....................Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi ikiwa yafuatayo yatatimizwa

  1. Zitto Z Kabwe awe Mkt wa CHADEMA taifa na 2015 awe ndio mgombea urais CHADEMA
  2. Mkt wa BAVICHA awe Habib Mchange badala ya Heche John wa sasa
  3. Katibu mkuu CHADEMA atoke mikoa ya pwani na Mtwara ili kuleta uwiano wa kanda kwa sababu chama kwa sasa ni cha kitaifa
  4. John Heche akagombee udiwani Tarime naa achane na ndoto za kukombea ubunge, ubunge amuachie Charles Mwera

wazo zuri!
 
Back
Top Bottom