muonamambo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 879
- 551
- Thread starter
-
- #41
Mh Rais usisahau kuteua nduguzo kwenye nafasi mbalimbali kama Dhaifu afanyavyo
Mh Rais usisahau kuteua nduguzo kwenye nafasi mbalimbali kama Dhaifu afanyavyo
Wote mnamuonea wivu rais jk hamna lolooooteee
hata mimi ntampigia msela muonamambo kura, kazi ya urais ni nyepesi tu, sio kubeba zege.Kweli Chadema wamepata jembe hapo inabidi Dr Slaa akae pembeni.
Mkeo mwenyewe amekushinda, nakushauri umalize matatizo yako ya kifamilia kwanza
Umesahau jingine ungejidai kujenga nchi kwa kukopa na uiache nchi na mzigo mkubwa wa madeni
Tafuta aliyekuibia hawara wako na wewe umfunge kama alivyo fungwa babu seyaaaaa!!!!!!!kwa wivu wapenzi........................na utafute waziri mkuu mwenye sura ngumu lakini anadekadeka (kulialia ovyo)......nadhani naweza kuwa waziri mkuu wako
Tango naona nawe umeamua kuwa sehemu ya Tatizo la nchi hii, unawezaje kufkiria kuiendesha nchi lwa kukutegemea kuomba misaada??? Hivyo ndivyo wewe unavyoongoza familia yako?? Ni vyema ukatambua mapema kuwa sio sifa, utaratibu wala kazi ya Rais flani kuwa kinara wa kuomba misaada badala ya kupanga mikakati ya kuitegemeza nchi yake katika nyanja zote. Ni uvivu wa kufikiri, ubabaishaji, ufinyu wa mawazo, kukosa maono na mikakati madhubuti ndiko kunaopelekea nchi yetu kurely on Misaada. Yaani unataka Rais awe na kijivazi rasmi cha kuombe msaada?? Sasa tunavyong'ang'ana kutafuta vazi la taifa ni ili avae nani???kwa hiyo ni vema raisi wetu aache kuvaa jumba halafu avae chou en lai, halafu nywere zake azipige bushback ndipo akatembelee ulaya? nani atamthamini dunia hii ya leo! wewe uvae minguo ya kichina ya mwaka 1967, halafu ukatembelee UK na USA? msadda utakaofanikiwa kupata kama unaomba ni mafuta ya break tuu na sio kingine!!! kweli ujamaa na kujitegemea umeharibu sana jamii ya kitanzania kuliko hata kutawaliwa na mkoloni.
Mkeo mwenyewe amekushinda, nakushauri umalize matatizo yako ya kifamilia kwanza
kwa sifa hizo ulizozisema lazima ugombee kwa tkt ya ccmBaada ya kutazama utendaji kazi wa Rais wangu mheshimiwa JK na kufanya self assessment nimegundua kuwa naweza kuwa Rais wa Nchi hii....
Moja Kati ya kazi kubwa anayofanya JK ambayo nami naiweza vilivyo ni kupanga na kukubali mialiko ya nje na kusafiri hata Kama ni kufungua NGO, kupiga Picha na wasanii, na kuhudhulia mazishi.... Hizi ni kazi nilizozipenda tangu udogo wangu.
Kingine ni kukimbia matatizo yanapotokea kwa kukimbilia nje ya nchi na kumkabidhi Waziri Mkuu wangu kwanza achemke kisha Kuja kuyamaliza either kwa kukaa na wazee ww Dar es salaam Au hotuba Ikulu Huku ukichekacheka ... Hii experience nayo ninayo Kwani niliwahi kuwa muigizaji...
Kazi nyingine ya kuudhulia mazishi ya wasanii na kuwatembelea wakiwa wagonjwa ... Nayo nahifahamu vizuri sana na pia ni mwepesi Wa kufuatilia mazishi yenye ujiko...
Na kazi ya kupokea na kujaribu suti nayo sidhani Kama itanishinda Kama ninavyoweza kuhaidi mambo Mengi bila kutekeleza.....
Wana bodi nawaombeni mniorodheshehe kazi zingine za Rais ili niweze kujipima vizuri kabla sijaingia kwenye uchaguzi
Nilikuwa napita tu.
pita kabisa na usirudi....acha tumchgue mrithi wa dhaifu...mh. naendelea kusisitiza usimsahau shonza hata u dc.