Natangaza kugombea Urais

Natangaza kugombea Urais

Akili nyengine za kipuuzi wewe umeona hayo kwa jk je mazuri aliyoyafanya pia unaweza kuyafanya labda ungetangaza kugombea ukatibu mkuu wa chama chako angalau ukapata kujikopesha na kujichukulia wake za watu na kufanya uasharati na kila kimwana wa ofisini kwako.

Yap kama napelile mwandosya patel na kimwana kipya kilichoingia shonza. Nasikia wanakigombea na shumbi madelu gulo
 
Mh Rais usisahau kuteua nduguzo kwenye nafasi mbalimbali kama Dhaifu afanyavyo
 
Mimi nakupa kura kwasababu kwa mujibu wa katiba ukiweza kufanya kazi zaidi ya rais aliyeko unaruhusiwa kuwa mgombea binafsi


We safiri tu hiyo ndio kazi kubwa
Na ukiiweza kura zako
 
Akili nyengine za kipuuzi wewe umeona hayo kwa jk je mazuri aliyoyafanya pia unaweza kuyafanya labda ungetangaza kugombea ukatibu mkuu wa chama chako angalau ukapata kujikopesha na kujichukulia wake za watu na kufanya uasharati na kila kimwana wa ofisini kwako.

Samahani naona umekosea kidogo id yako ukajiita Isalia badala ya badala ya masalia. Samahani lakini.
 
Last edited by a moderator:
Hii ya kukata utepe nina udhoefu nayo tangu Ukwata wakati tukifungua matawi ya Ukwata ... Bila Shaka nitaifanya kwa ufanisi bila kuhitaji msahidizi


Mhe. Rais mtarajiwa nafikiri katika kipindi chako cha kuongoza makamo wa rais pia hatokuwa na haja hata kidogo kwani sidhani kama kazi ya kukata utepe kwnye miradi mbalimbali itakushinda.
 
Ahsante AK47 Triger ... Nahaidi sitakuangusha.....

Mimi nakupa kura kwasababu kwa mujibu wa katiba ukiweza kufanya kazi zaidi ya rais aliyeko unaruhusiwa kuwa mgombea binafsi


We safiri tu hiyo ndio kazi kubwa
Na ukiiweza kura zako
 
Hatulalamiki Tango73 tunajaribu kujifunza kazi za Rais wetu

Jamani mbona raisi Congo DR walimfanyia mazishi ya kifahari lwambo lwanzo makiadi? Raisi mwinyi alikwenda nyumbani kwa Dewji kumfariji kifo cha mkewe aliyekufa kwa ajari. kwa sababu kiongozi wa wamu ya kwanza alikuwa hawafariji wana familia wa wasanii waliokuwa wanakufa kama kina ahmmedi kipande, Mbaraka mwishehe na salum abdallah, basi hiyo nayo iwe halamu kwa mtawala kuhudhulia mazishi ya wasanii?

Jusi juzi raisi kikwete alimualika raisi mwai kibaki na kumpatia heshima ya kjina la barabara, watu walilalamika. jamani malalamiko mengine tuyawekee chujio.
 
Si ndio maana nami nimekubali Kuletewa Suti ? Usijali kwa hili sitakuangusha nitakwenda USA na UK na suti kali watakazoniletea

kwa hiyo ni vema raisi wetu aache kuvaa jumba halafu avae chou en lai, halafu nywere zake azipige bushback ndipo akatembelee ulaya? nani atamthamini dunia hii ya leo! wewe uvae minguo ya kichina ya mwaka 1967, halafu ukatembelee UK na USA? msadda utakaofanikiwa kupata kama unaomba ni mafuta ya break tuu na sio kingine!!! kweli ujamaa na kujitegemea umeharibu sana jamii ya kitanzania kuliko hata kutawaliwa na mkoloni.
 
Mimi Nitaenda piga Picha na Mesi na ronaldo ..nina list ndefu itajaza saver ya JF... Kwa miaka 10 nitakapokuwa Rais sidhani Kama nitawamaliza



.
Naaminí kazí ya Urais utaiweza kwa kuwa jukumu lako kubwa kama anavyofanya JK anaposafiri kwenda nje ya nchí ni kutafuta kupiga picha na celebrities.

Kwa hiyo ww utakachofanya siyo kurudia kupiga picha na celebrities aliopiga não plcha JK, kama vile Beckham, 50 cents, Naomi Campbell na wengineo, bali utafute list mpya, ili marais wa awamu ya nne na tano wa hapa TZ muingie kwenye Guiness world records, kwamba mtakuwa mmewazidi marais wote tokea dunia iumbwe kwa kupiga picha na celebrities wengi zaidí!!
 
Ritz Kwani ni lazima nigombee kwa ticketi ya Chadema ? Unaonaje ni kugombea kwa ticketi ya CCM?

Kweli Chadema wamepata jembe hapo inabidi Dr Slaa akae pembeni.
 
Utaifakwanza ... Nikimalizana na mama kayahii nawezagombea Urais kwa sifa nilizokutajia? Tafadhari naomba kura yako


Mkeo mwenyewe amekushinda, nakushauri umalize matatizo yako ya kifamilia kwanza
 
Ushawahimkuwa hata jumble na kusuruhisha migogoro ya ndoa...au mbwembwe...
 
Mademu wako wote usisahau kuwapa ukuu wa Wilaya. Wilaya zipo nyingi sana zitawatosha wote kila mmoja atapata Wilaya yake hivo hawatokua na ugomvi na first lady wako.
 
Akili nyengine za kipuuzi wewe umeona hayo kwa jk je mazuri aliyoyafanya pia unaweza kuyafanya labda ungetangaza kugombea ukatibu mkuu wa chama chako angalau ukapata kujikopesha na kujichukulia wake za watu na kufanya uasharati na kila kimwana wa ofisini kwako.
Huyu jamaa kasahau mema ya mh.rais kama yafuatayo:

.Maisha kuwa bora kwa kuongeza thaman ya bidhaa mf:mbolea kutoka 10,000/= hadi zaid ya 50,000/=
.sukar kutoka 900/= hadi 2,000/=
.dolar kutoka 1@600/= hadi 1@1,600/= n.k.
LAKINI PIA KAFANYA MAZURI YAFUATAYO:
.Mauaji ya mapadri na mashekh
.Mauaji ya Waandishi wa habar mf:Mwangosi
.mauaji ya Arusha 2011
.Kumteka Ulimboka ili kuwapga bit madaktar wasigome.
.kuchochea ubaguzi wa kidini, alafu anakaa kimya kujifanya haoni tatizo lolote.
Kwa kweli mh.rais kafanya mengi mazur, sema basi tu watz niwasaaulifu.
 
Haswa.....Hilo nimelizingatia. Orodha ya viburudisho against ukuu ww Wilaya, mikoa, viti maalum na post za kibalozi ninayo ...naomba kura yako

na usisahau kuwapa viburudisho vyako nafasi za juu serikalini
 
Back
Top Bottom