Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Niliandika hii thread nikiwa nimelewa... sijachaa ni ulevi tu wakuu





Niliandika hii thread nikiwa nimelewa... sijachaa ni ulevi tu wakuu





Sio kweli mamiii... niliandika uzi huu nikiwa nimelewa sana, sijaacha na sina mpango wa kuacha pombe abadanOoh Glory to God! Safi sana mkuu kama kweli, it's a month now, how do you see yourself ? Ni kweli umepumzika ama ulituandikia tu humu??![]()


sio leo sio kesho au mwakaniBidada wa twiraaaa....leo umerudi nyumbani
Sio kweli mamiii... niliandika uzi huu nikiwa nimelewa sana, sijaacha na sina mpango wa kuacha pombe abadansio leo sio kesho au mwakani








Jinga sana wewe na akili zako za mipombe😀😀😀😀 hapa nilikua namshukuru Mungu kwa ajili yako amekubadilisha kumbe hamna kitu!😁😁Sio kweli mamiii... niliandika uzi huu nikiwa nimelewa sana, sijaacha na sina mpango wa kuacha pombe abadansio leo sio kesho au mwakani




Bidada wa twiraaaa....leo umerudi nyumbani
Nikubalie nibadilikeeJinga sana wewe na akili zako za mipombehapa nilikua namshukuru Mungu kwa ajili yako amekubadilisha kumbe hamna kitu!
![]()


Kha kwahiyo mimi ndiyo mbadala wa mipombe yako?! Unanifananisha na hiyo Vodka eeh😬😬Nikubalie nibadilikee![]()
Si wanasema mtu ukiwa mapenzini hii mipombe unaisahauKha kwahiyo mimi ndiyo mbadala wa mipombe yako?! Unanifananisha na hiyo Vodka eeh![]()
Kwa hiyo akili yako, unaweza ukawa unaniacha ndani unaenda kwa babe wako pombe wewe 😀😀Si wanasema mtu ukiwa mapenzini hii mipombe unaisahau
Happy valentine mamiii
Tutanywea ndaniii bebee.... walau hata miaka mitano ndio ndoa tunaichoka choka hapo ndio naweza rudi kwenye game rasmiKwa hiyo akili yako, unaweza ukawa unaniacha ndani unaenda kwa babe wako pombe wewe![]()


