Niliandika hii thread nikiwa nimelewa... sijachaa ni ulevi tu wakuu











Aisee.. ndiyo nimeingia chamani..😀
[/QUOTE
Karibu kvant na kitimoto nusu na marosoro ya mnafu
Zitafika day 365 mkuu
DahAmen














Kwani we uliamini?Dah
Sina mbavu nikiona hizi comments
Eh mmefikisha siku ngapi??
Fisher una siku ngapi sasa rafiki yangu?
Mama lao sijawaacha nipo napambana nazoo....
EeeehAisee.. ndiyo nimeingia chamani..![]()
Hangover tu hizo mzeebabaMbaya Sana hii
Ndiyo ndiyo😂Eeeeh
Sasa itakuaje?Ndiyo ndiyo![]()
Nakaribia 😀Sasa itakuaje?
Wkend hii karibu chupa kadhaa
Yesu wanguKwani we uliamini?






Kumbe ningeendelea kuacha ungekuta nakaribia kupata mchumba jmn.....sijui nakwama wapYesu wangu
Mimi niliamini.
Ngoja nisubiri na mwenzio alete mrejesho

Kumbe ningeendelea kuacha ungekuta nakaribia kupata mchumba jmn.....sijui nakwama wap![]()










Mungu ni mkubwa SanaMi naona nimefanikiwa...42 days bila bila





Mungu ni mkubwa Sana
Malizia hizo zilizobaki 20 ili nitimize ahadi yangu ya kutembea kwa mguu.



