Ndugu zangu leo imekuwa siku mbaya kwangu.
Nikiwa Tegeta kwa Ndevu nasubiria gari kwenda Bunju kuonana na mafundi (site), katika pulukushani za kupanda daladala jamaa wakaiba 480,000 kutoka kwenye mkoba wangu.
Nimekuja kushutuka baada ya kuingia ndani ya gari.
Sasa ntangaza vita ya mtu mmoja (Solo War), dhidi ya vibaka wa Kwa Ndevu.
Sasa hicho kiama utatangazaje?watch out usije wewe ndo ukawa victim ya vita yako hiyo!
Mtu ambaye hajawahi kuibiwa ni Ngumu sana kuelewa situation uliyopo nayo sasa...Pole sana Mkuu Bora hata wewe 480,000 Kuna jamaa walimpiga gari ya kuazima pale mlimani city alikua anaitafuta Gari kwenye mifuko ya pensiNdugu zangu leo imekuwa siku mbaya kwangu.
Nikiwa Tegeta kwa Ndevu nasubiria gari kwenda Bunju kuonana na mafundi (site), katika pulukushani za kupanda daladala jamaa wakaiba 480,000 kutoka kwenye mkoba wangu.
Nimekuja kushutuka baada ya kuingia ndani ya gari.
Sasa ntangaza vita ya mtu mmoja (Solo War), dhidi ya vibaka wa Kwa Ndevu.
Mtu ambaye hajawahi kuibiwa ni Ngumu sana kuelewa situation uliyopo nayo sasa...Pole sana Mkuu Bora hata wewe 480,000 Kuna jamaa walimpiga gari ya kuazima pale mlimani city alikua anaitafuta Gari kwenye mifuko ya pensi
Awe anatumia bodaboda kama anaogopa bajajiPole sana mzee. uwe unatumia hata bajaji kama unaogopa taxi
Pole sana mkuu, nakumbuka mimi waliniibiaga wallet yangu pale feri wakati natoka kigamboni, daaa nimeshaingia kwenye gari naangalia mfukoni sioni kitu niliumia sanaaa basi hawa wezi wangekuwa na namna ya kuadhibiwa ingekuwa vizuri