Natangaza kihama kwa vibaka wa Tegeta kwa ndevu

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,621
1,706
Ndugu zangu leo imekuwa siku mbaya kwangu.
Nikiwa Tegeta kwa Ndevu nasubiria gari kwenda Bunju kuonana na mafundi (site), katika pulukushani za kupanda daladala jamaa wakaiba 480,000 kutoka kwenye mkoba wangu.
Nimekuja kushutuka baada ya kuingia ndani ya gari.
Sasa ntangaza vita ya mtu mmoja (Solo War), dhidi ya vibaka wa Kwa Ndevu.
 
pole...siku ingine ukiwa na hela kiasi hicho chukua taxi.....cheap is expensive.....
 
Sasa hicho kiama utatangazaje?watch out usije wewe ndo ukawa victim ya vita yako hiyo!
 
Mkuu katika hilo sina wasiwasi nitakitangaza ambazo hazihatarishi usalama wangu.
Na hi ni kwa kibaka yoyote wa maeneo yale atakayeingia kwenye 18 zangu.
 
Ndugu zangu leo imekuwa siku mbaya kwangu.
Nikiwa Tegeta kwa Ndevu nasubiria gari kwenda Bunju kuonana na mafundi (site), katika pulukushani za kupanda daladala jamaa wakaiba 480,000 kutoka kwenye mkoba wangu.
Nimekuja kushutuka baada ya kuingia ndani ya gari.
Sasa ntangaza vita ya mtu mmoja (Solo War), dhidi ya vibaka wa Kwa Ndevu.
Mtu ambaye hajawahi kuibiwa ni Ngumu sana kuelewa situation uliyopo nayo sasa...Pole sana Mkuu Bora hata wewe 480,000 Kuna jamaa walimpiga gari ya kuazima pale mlimani city alikua anaitafuta Gari kwenye mifuko ya pensi
 
Mkuu asikwambie mtu, bora kama ingepotea kwenye mazingira ya kutatanisha, lakini hii ni dhaili kabisa vibaka wameiba.

Kama unavyojua leo weekend mafundi huwaambii kitu, inabidi wapate pesa.
 
Pole sana mkuu, nakumbuka mimi waliniibiaga wallet yangu pale feri wakati natoka kigamboni, daaa nimeshaingia kwenye gari naangalia mfukoni sioni kitu niliumia sanaaa basi hawa wezi wangekuwa na namna ya kuadhibiwa ingekuwa vizuri
 
Mkuu, hawa viumbe wakiingia kwenye 18 zangu ni sheria mkononi tu.
 
Kimjini mjini kawaida tu. Pangusa vumbi simama songa mbele.
Ajira milion moja kwa vijana ni pamoja na hizi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom