Natambulisha Live Online Tv kwenu

minta kusapoti sana,,kuna vipindi huwa naangalia kwenye tv,
,ntakua naweka mb's za kutosha ili hivyo vipindi niangalie kwenye online tv yako mwanajuhudi mwenzangu
kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa Maskini mleta mada kapewa Ban ya hatari ,takliban mwaka mzima pengine msimuone tena
 
Sasa kwa Simu yako enjoy tena ule uhondo wa zamani wa kutazama live TV kwenye Simu yako!, kama ni mdau wa Online TV Tanzania basi utakuwa umewakumbuka wale Online TV | Simu yako TV yako, ambapo sasa tumerudi kwa nguvu ya ajabu na application yetu mpya inayoitwa BongoTv na kaulimbiu yetu ni BongoTV - Live Kiganjani ipakue hapa ufurahie uhondo wote wa TV za nyumbani na ligi za ulaya bure milele.
 
Back
Top Bottom