Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

28/03/2015

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
366
Reaction score
335
Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea http://wameshare.com/onlinetv.apk
Screenshot_2016-10-23-10-57-03.png
Screenshot_2016-10-23-19-00-32.png
Screenshot_2016-10-23-19-01-12.png
Screenshot_2016-10-23-19-01-30.png
Screenshot_2016-10-23-19-01-43.png
Screenshot_2016-10-23-19-01-48.png
Screenshot_2016-10-23-19-02-55.png
Screenshot_2016-10-23-19-03-07.png
Screenshot_2016-10-23-19-03-23.png
Screenshot_2016-10-23-19-03-30.png
Screenshot_2016-10-23-19-03-36.png
Screenshot_2016-10-23-19-03-40.png
Screenshot_2016-10-23-19-03-47.png
Screenshot_2016-10-23-19-03-57.png
Screenshot_2016-10-23-19-04-11.png
Screenshot_2016-10-23-19-04-21.png
Screenshot_2016-10-23-19-04-33.png
Screenshot_2016-10-23-19-04-42.png
 
Mdau kazi nzuri ila ifanyie mpango ipate certificate maana si vitisho hivyo inavyotoa mara haiko safe na karaha kama Hizo pia fanyia kazi muonekano wake uwe auto rotate.
sawa kiongozi nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi na pia baada ya siku chache nitaiweka play store, kwa hiyo hizo karaha zitaondoka
 
Mkuu nimeipenda bure !! Movie channels mkuu ndo kaugonjwa kangu !
 
Kwenye Simu yangu hiyo link inagoma nikidownload natumia Tecno h6
 
Back
Top Bottom