Natamani sasa kuolewa

Natamani sasa kuolewa

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Natamani kuolewa sasa jamani,,
Niishi na mume wangu,asubuhi aniamshe twende kazini jion niwahi nyumban nimpikie akija nimfungulie mlango natamani natamani sijui itakuwa tarehe ngapi kikwazo ni dini zetu MUNGU simama sasa !!aaaaaaggg
 
Tatizo ni dini zenu? Dini gani inakataza usiolewe dada?
 
ni ndoto kwa kila aliyepuvuka kibaiologia na kisaikolojia, haki yako
 
Swali. wewe umeridhia kuolewa na mwislam! kama jibu ni ndio then uolewe tu.
 
Unaonaje ukakubali uislam na kuitwa Khadija? Thn unaolewa unakua mke mwema sana na utapata kheri kubwa

Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa
 
kUMBE UNAFANYA UASHEARTI BADO UNATAKA NDOA!! Bikira huna bado wataka ndoa, hilo ombi halijaenda kokote. fanya matengenezo kwanza wewe mwenyewe. then mwambie Mungu akupe Mume!! sio MSHARATI MWENZIO HUYO.
 
Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa

Hawezi kukukataa dada, na wala wewe hutakua wa mwanzo kufanya hivi. Wapo wengi na maisha yanaendelea kama kawaida, unachotakiwa wewe ni kua na msimamo imara. Kwanini asikuelewe? Nipm nikusaidie
 
Muombe Mungu atakujalia hata hivyo vikwazo vya dini vitaondoka utakaa na mmeo
 
Natamani kuolewa sasa jamani,,
Niishi na mume wangu,asubuhi aniamshe twende kazini jion niwahi nyumban nimpikie akija nimfungulie mlango natamani natamani sijui itakuwa tarehe ngapi kikwazo ni dini zetu MUNGU simama sasa !!aaaaaaggg

hili jukwaa limevamiwa na wafanyabiashara ya miili..... Umemchuna mzee wa watu hujatosheka sasa subir 0713 au mtungo
 
Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa

Usitumie huo mstari wa kujifariji,, it doesnt make it ryt. Mungu wetu si wamajaribio, nakubali kabisa kwamba yupo Mungu mmoja anayestahili kuabudiwa kwa dhati but haimaanishi unaweza kumwabudu popote tuu coz ni mmoja.

Unaona tofauti gani kati ya dini ya kikristo na kiislamu? Hauoni utofauti wa kumwabudu Mungu kati ya dini hizo mbili? Hama dini/dhehebu ukiwa umeamua kwa udhati kutoka moyoni mwako sio kwa ajili ya mapenzi uliyenanayo kwa mtu(mpenzi wako). Mara nyingi akili ya mwanadamu inapotamani kufanya jambo basi hutafuta jinsi ya ku-justify maamuzi haya(kama ilivoonekana kwenye hiyo kauli yako)

Tulia, Mwombe Mungu wako akuongoze kwenye maamuzi yako, I am sure He will.

HAPPY HOLLY WEEK
 
"mwanamke hana dini" huu msemo una kaukweli kiasi chake..
 
Back
Top Bottom