Mkuu umeenda mbali sanaTrue mkuu ,hata mimi ni muumini wa ndoa za mitala au za kiislamu kuliko za ki kristo japo sitaki kuwa muislamu ila natamani nioe muislamu hawana complications na wanaridhika
Hata marais waislam si unaona mwenyewe tofauti
Wewe na bakharesa na mwenye maisha mazuri?Hukuchagua mke ndugu ulichagua fundi kitandani na haya ndio matokeo yake.
Ndoa ulizozisifia za wake wanne zimetawaliwa na umasikini wa kufa na kupona, watoto zaidi ya 20 elimu hakuna, mtoto wa kike akimaliza darasa la saba anaozeshwa, upuuzi mtupu huu.
Eti wapo vizuri kugawana mirathi, mali huwa inagawanwa au inaendelezwa?
Badili tu dini elekea huko mkuu ndio utajua kuswali mara tano kwa siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwa poyoyo, sasa hiyo Saudi Arabia au Oman? Ona hii, sema wapi hapa?...FaizaFoxy we ajuza
.Brunei brings in stoning to death for gay sex, despite outcry
Shock among LGBT community in tiny southeast Asian kingdom as nation moves towards strict sharia lawwww.theguardian.com
Yohana 8:7
Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
Nenda visiwani kuna watu wana vyuo mpaka 6. Halafu ana miaka 25 tu..
Msichana akikuambia nina vyuo vitatu ujue kaolewa na kuachika mara 3.
Kwanini uneniongezea?
Pruuuuuuu! Hiyo ni habari kutoka media kubwa duniani CNN na sio story ya kutunga kwa sababu sheria ya kiislamu inaruhusu.Acha kuwa poyoyo, sasa hiyo Saudi Arabia au Oman? Ona hii, sema wapi hapa?...
Wapi hiyoo? Oman au Saudi Arabia?
Chanzo: APIGWA HADI KUFA NA HATIMAE KUCHOMWA MOTO KWA TUHUMA ZA WIZI
Kwanza Kuna limit wake 4 tu sio zaidi
Tamaa ya mwanaume sio 4 tu ila zaidi yaani idadi haieleweki.
Nikujifariji tu, fanyeni research muone kama wanaume huridhika wakifikisha wake 4 ndo baasi.
Akipita mnene macho kodo
Mrefu macho kodo
Mwembamba macho kodo
Mwenye nywele nzuri macho kodo
Mwenye kiuno kizuri macho kodo
Mwenye sauti na mwanya mzuri macho kodo
Nafsi zetu huwa zinaficha mengi na midomo yetu bila aibu hunena unafiki uliotukuka.
Watu weusi tunadharaulikaga hivihivi tunajiona.
Huo ni uzinzi tu, kama haujawa tayari fanya uzinzi wako weee utaoa hata ukifikisha miaka 45.Mwenye mbili si sawa na mwenye moja,angalau uislam umetoa ruhusa ya kuoa mpaka 4 na ruhusa ya kuacha na kuachwa. Katika hili Kuna manufaa mengi sana na ruhusa wengi imewanufaisha, ndoa haiend kwa kulaznishwa mnaweza kuuwana buree
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa,ukioa mwanamke mwenye hofu ya Mungu ya Kweli,hata kwa wakristo utaenjoy sana,lakini hawa wengine wa maigizo ni shida kwakweli...Ndoa tamu ukipata mtu sasa mimi muislam sijawah kuwa mkristo so ya kikristo siyajui vizuri lakini huku kwetu ukipata mke alisoma dini na upendo upo hata kuchepuka huwezi, kuna usafi flani hivi amaizing, ila ukichochora ukaoa muislam jina ama na wewe una mambo yako meusi mbona utafurai na roho yako itakuwa ya moto kama unaishi jehannam ndogo
Kuangalia sio shida mkuu,shida ni kutamani...Kwanza Kuna limit wake 4 tu sio zaidi
Tamaa ya mwanaume sio 4 tu ila zaidi yaani idadi haieleweki.
Nikujifariji tu, fanyeni research muone kama wanaume huridhika wakifikisha wake 4 ndo baasi.
Akipita mnene macho kodo
Mrefu macho kodo
Mwembamba macho kodo
Mwenye nywele nzuri macho kodo
Mwenye kiuno kizuri macho kodo
Mwenye sauti na mwanya mzuri macho kodo
Nafsi zetu huwa zinaficha mengi na midomo yetu bila aibu hunena unafiki uliotukuka.
Haya mtoto mzuri
Wewe ni mzinzi.
Ukijibu swali langu,basi utakuwa kweli wewe MKRISTO.Ila uwezi jibu kwa sababu wewe ni MPAGANITafadhari = Tafadhali
Wewe hata kuandika vizuri hujui. Ni kama Mudy SAW aliyekiri kuwa hajui kusoma wala kuandika.
Sent using Jamii Forums mobile app