Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Nimeona watu( nyumbani kwangu) wanalewa pombe,wanadhani wanapendeza sana wakilewa. Halafu,wanakaribia kuteleza,kujikwaa,kuanguka katika ngazi. And then they calm down.
Hahahaaaaaaaa.....,.alale ameangalia mbinguni..Nakushauri tu kitu kimoja ukishakuwa mwanachama mwenzetu ukipiga vitu vikakuzidi hadi kushindwa kumove kama unalala sehemu we lala tu ila usilalie tumbo maana utakuwa compromised kwenye maeneo yenye wahuni hakikisha Unalalia mgongo unakuwa unatizama mbingu
Habari wana JF poleni na Majukumu ya kazi.
Kila Mwaka una kuja kwa namna yake ila mwaka huu nauona unanikalia tofauti kama si vibaya. Maana Toka Mwaka uanze najikuta katika Hali ya sintofahamu Juu ya hisia hii ya Ajabu inayonipata.
Hisia zenyewe ni jinsi nawatafakari watu wanaokunywa pombe kuona wanafaidi sana na kupata muda mzuri kujiondoa na stress ndogo ndogo.
Hii hali inanitia shauku sana nami nijiingize katika kundi hilo nikajionee kwa binafsi yangu namna wanavyofurahia Maisha yao pindi wakiwa mtungi.
Binafsi sijawahi kunywa kilevi chochote mpaka miaka hii 27 niliyonayo mpaka sasa.
Kheri ya Mwaka mpya Wakuu.
Mimi ni mtumiaji mzuri tu wa pombe ila binafsi sikushauri kuingia huku na wala sijawahi kumshauri mtu kunywa pombe ila nawashauri wengi kuacha pombe.......
Nina mzee mmoja rafiki yangu sana yeye kaanza kunywa pombe mwaka jana akiwa na 40+ years baada ya kufilisika (alikuwa ni mfanya biashara wa dhahabu) na kibaya kaanzia kunywa pombe kali kama Kvant Value na Konyagi. aliponiambia kaanza kunywa pombe eti apunguze mawazo na apate usingizi niliumia sana na nikamjibu on the spot kuwa hakuna maamuzi mabaya aliyofikia katika maisha yake kama hayo kwa kuwa hatoweza kurudi tena katika hali ya kawaida na ndio kashapotelea huko mazima..
Mzee akanishangaa sana kwa nini nampinga wakati mimi nakunywa na ameshawahi kulipa bili zangu mara nyingi tu na wakati mwingine alikuwa akiniona niko bored ananiboost mifumo ili nikapige gambe....unajua why atapotea kwa sababu kaingia kwenye chama kwa stress na machungu kwa hivyo lazima tutamuokota mitaroni one day
Pombe imenirudisha nyuma sana na imenifanya adicts natamani sana kuacha pombe na tayari nipo kwenye zoezi la kuacha naendelea nalo
Ntaonja mara Moja Kisha ntaachana nayo tu muhimu ntakua nmejua ni aina gani za Feelings zinawapataNunuq double kick mbili tu kwa sikuHabari wana JF poleni na Majukumu ya kazi.
Kila Mwaka una kuja kwa namna yake ila mwaka huu nauona unanikalia tofauti kama si vibaya. Maana Toka Mwaka uanze najikuta katika Hali ya sintofahamu Juu ya hisia hii ya Ajabu inayonipata.
Hisia zenyewe ni jinsi nawatafakari watu wanaokunywa pombe kuona wanafaidi sana na kupata muda mzuri kujiondoa na stress ndogo ndogo.
Hii hali inanitia shauku sana nami nijiingize katika kundi hilo nikajionee kwa binafsi yangu namna wanavyofurahia Maisha yao pindi wakiwa mtungi.
Binafsi sijawahi kunywa kilevi chochote mpaka miaka hii 27 niliyonayo mpaka sasa.
Kheri ya Mwaka mpya Wakuu.
Hilo la kuacha ni jambo jema Mwenyez Mungu akusimamie katika hiloMimi ni mtumiaji mzuri tu wa pombe ila binafsi sikushauri kuingia huku na wala sijawahi kumshauri mtu kunywa pombe ila nawashauri wengi kuacha pombe.......
Nina mzee mmoja rafiki yangu sana yeye kaanza kunywa pombe mwaka jana akiwa na 40+ years baada ya kufilisika (alikuwa ni mfanya biashara wa dhahabu) na kibaya kaanzia kunywa pombe kali kama Kvant Value na Konyagi. aliponiambia kaanza kunywa pombe eti apunguze mawazo na apate usingizi niliumia sana na nikamjibu on the spot kuwa hakuna maamuzi mabaya aliyofikia katika maisha yake kama hayo kwa kuwa hatoweza kurudi tena katika hali ya kawaida na ndio kashapotelea huko mazima..
Mzee akanishangaa sana kwa nini nampinga wakati mimi nakunywa na ameshawahi kulipa bili zangu mara nyingi tu na wakati mwingine alikuwa akiniona niko bored ananiboost mifumo ili nikapige gambe....unajua why atapotea kwa sababu kaingia kwenye chama kwa stress na machungu kwa hivyo lazima tutamuokota mitaroni one day
Pombe imenirudisha nyuma sana na imenifanya adicts natamani sana kuacha pombe na tayari nipo kwenye zoezi la kuacha naendelea nalo
Pesa ni kama barafu unapoitoa kwenye jokofu...money is like melting ice! It never stays..Pesa ipo![]()

Usijaribu ndugu, wenzio tulikua huko na tukaamua kuacha na kuendelea na maisha mengine. Pombe hazina faida wala ufahari wa aina yoyote.Habari wana JF poleni na Majukumu ya kazi.
Kila Mwaka una kuja kwa namna yake ila mwaka huu nauona unanikalia tofauti kama si vibaya. Maana Toka Mwaka uanze najikuta katika Hali ya sintofahamu Juu ya hisia hii ya Ajabu inayonipata.
Hisia zenyewe ni jinsi nawatafakari watu wanaokunywa pombe kuona wanafaidi sana na kupata muda mzuri kujiondoa na stress ndogo ndogo.
Hii hali inanitia shauku sana nami nijiingize katika kundi hilo nikajionee kwa binafsi yangu namna wanavyofurahia Maisha yao pindi wakiwa mtungi.
Binafsi sijawahi kunywa kilevi chochote mpaka miaka hii 27 niliyonayo mpaka sasa.
Kheri ya Mwaka mpya Wakuu.
Sio kweli. Watu tunagonga mtungi na majukumu yetu tunayatimiza kama kawa. Kwanza ukilewa ndio akili ya pesa inaongezekaKama unataka kuyakwepa majukumu kwa kivuli cha kuitwa mlevi ingia ila amini nakuambia utapotea vibaya mno yaani