Natamani niwe mlevi

Natamani niwe mlevi

Kama kweli unataka kuingia kwenye hiki chama jitahidi upate mentor mzuri kama mimi Jr ili uwe unakunywa pombe za afya na za faida...

Lakini ngoja nikupe kanuni 3 za msingi za kuanza nazo, utakapoanza kunywa pombe

Jitambue wewe ni nani
Fahamu uko wapi
Jua unachokifanya
@Mshana Jr barikiwa mkuu na nmepokea baraka zako
 
Nakumbuka huko siku za nyuma miaka 2018, nilikuwa nawaza sana juu ya unywaji wangu,nilikuwa napiga hesabu pesa ninayo tumia kwa siku ,wiki hadi mwezi.
Ilifikia siwezi kupitisha siku bila kuzama bar ,na nilazima nipige nne au tano ndo kidogo akiri itulie.

Nilikuwa najiona napotea kabisa na vile vipesa vilikuwepo ndo kabisa katabia nako ndo kakashamiri.
Kuna siku nikafika bar nikaagiza bia zangu mbili nikakaa ,nikazitizama wee nikawa najiuliza nitafanya hivi hadi lini ? Nikamuita mhudumu nikalipa nikamwambia kunywa huizi bia, mie nina dozi ndo nimekumbuka hapa.Nikarudi zangu hom.
Pombe si nzuri ,ina kaushetani hasa ikiona una hela za kuinunua kila siku,haitakuacha salama
 
Brother pombe zenye afya na za faida unaweza kutupa mwongozo kidogo ni za namna gani?
Naomba kujua pia hizi local bia zipo upande gani labda, ni pombe za afya na za faida ?
Natanguliza shukurani.
Waungwana wanasema too much is harmful
Kunywa unapokuwa na muda
Kula ushibe kabla ya kunywa
Kunywa kama una pesa ya ziada
Kunywa kwa kiasi
Epuka pombe kali hasa hizi za bei rahisi sana! Lakini kama ni mtumiaji kunywa kwa kiasi na usinywe kavu
Always kuwe na chupa kubwa ya maji kwenye meza ya pombe
Wahi kulala
 
Nakumbuka huko siku za nyuma miaka 2018, nilikuwa nawaza sana juu ya unywaji wangu,nilikuwa napiga hesabu pesa ninayo tumia kwa siku ,wiki hadi mwezi.
Ilifikia siwezi kupitisha siku bila kuzama bar ,na nilazima nipige nne au tano ndo kidogo akiri itulie.

Nilikuwa najiona napotea kabisa na vile vipesa vilikuwepo ndo kabisa katabia nako ndo kakashamiri.
Kuna siku nikafika bar nikaagiza bia zangu mbili nikakaa ,nikazitizama wee nikawa najiuliza nitafanya hivi hadi lini ? Nikamuita mhudumu nikalipa nikamwambia kunywa huizi bia, mie nina dozi ndo nimekumbuka hapa.Nikarudi zangu hom.
Pombe si nzuri ,ina kaushetani hasa ikiona una hela za kuinunua kila siku,haitakuacha salama
Kampani na mazingira
Hivi vitu viwili hivi ni vichokoo vikubwa sana vya starehe
Kinondoni tulikuwa na bar zetu ambazo tulikuwa tunakunywa kwa bili.. Ilikuwa kulipa laki 3 mpaka 5 kwa wiki lilikuwa jambo la kawaida sana na tulikuwa watu saba tuu
 
Waungwana wanasema too much is harmful
Kunywa unapokuwa na muda
Kula ushibe kabla ya kunywa
Kunywa kama una pesa ya ziada
Kunywa kwa kiasi
Epuka pombe kali hasa hizi za bei rahisi sana! Lakini kama ni mtumiaji kunywa kwa kiasi na usinywe kavu
Always kuwe na chupa kubwa ya maji kwenye meza ya pombe
Wahi kulala
Asante sana kwa mwongozo,
 
Vijana wa 96 hao...

Hakikisha unakipato kama utapenda Pombe lasivyo Shetani ata paa na wewe
 
yan mm mwanaum asiye kunyw pombe naona kma fala hiv
imagin unaenda lounge kaliiii afu u akunyw soft.drink vibe hnapafaje sasaa
 
Back
Top Bottom