Natamani niwe mlevi

Natamani niwe mlevi

Pombe ni chakula jamaa yangu! Unakunywa kiasi kama unavyokula kiasi......!!!!
Naifahamu pombe vizuri rafiki yangu...utakunywa kwa kiasi kama hauna stress na hauna kampani....ikukute umevurugwa na walimwengu halafu umejaa hasira wala hutakumbuka kama umepitiliza kiasi aiseee....ni muda tu ndio utakupumgua
 
Karibu chamani mkuu, pombe sio mbaya kama wadau wanavyoisema vibaya.

Usianze kunywa vikali utafauka, kwa umri wako anza na vilaini tu japo wana watakutenga na kukuona jau unawaletea kiwingu ila usiache kunywa pombe laini kwanza.

Baadae ndio uanze kutest ladha tofauti baada ya kukijua kichwa chako kina uwezo gani, na pombe gani ukinywa unakuaje kimwili na kiakili na ipi inakufaa zaidi.

Baada ya hapo utakua umefuzu na kua mnywaji/mlevi kwa kadri unavyotaka wewe.

Kumbuka hakuna mashindano ya ulevi au ugugumiaji pombe wala huwezi kuishinda/kuimaliza pombe duniani. Kunywa kistaarabu uepuke fedheha.
Ni mara chache sana kupokea wageni wa umri wako miaka hii. Maana sasa hiv madogo 16yrs tayari ni chapombe.
Na mimi nilianza hivyo hivyo....sitamsahau shemeji yangu mke wa brother alikuwa ananipa vi ledds, eti hizi za wanafunzi by that time niko advance nagonga maana ye vilikuwa havikauki kwenye friji...daaah badae mbona ye ndio alibaki kuwa mwanafunzi...
 
Ndo ivo mkuu japo sie wengine tulianza na valeur
 
Na mimi nilianza hivyo hivyo....sitamsahau shemeji yangu mke wa brother alikuwa ananipa vi ledds, eti hizi za wanafunzi by that time niko advance nagonga maana ye vilikuwa havikauki kwenye friji...daaah badae mbona ye ndio alibaki kuwa mwanafunzi...
Pombe UKIWA na pesa taamu sana
 
Naifahamu pombe vizuri rafiki yangu...utakunywa kwa kiasi kama hauna stress na hauna kampani....ikukute umevurugwa na walimwengu halafu umejaa hasira wala hutakumbuka kama umepitiliza kiasi aiseee....ni muda tu ndio utakupumgua

Malizeni bia zote kiwanda kifungwe.

Napenda Saba wine na nikiwa high nisex na mwanaume wa kweli. Napenda nipige kelele za Ile Raha Hadi majirani waje kuamulia.

Pombe Raha ila unywe kiasi na usinywe kila siku
 
@Mama Edina
 
Back
Top Bottom