Natamani niwe mlevi

Natamani niwe mlevi

rajiih

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
500
Reaction score
757
Habari wana JF poleni na Majukumu ya kazi.

Kila Mwaka una kuja kwa namna yake ila mwaka huu nauona unanikalia tofauti kama si vibaya. Maana Toka Mwaka uanze najikuta katika Hali ya sintofahamu Juu ya hisia hii ya Ajabu inayonipata.

Hisia zenyewe ni jinsi nawatafakari watu wanaokunywa pombe kuona wanafaidi sana na kupata muda mzuri kujiondoa na stress ndogo ndogo.

Hii hali inanitia shauku sana nami nijiingize katika kundi hilo nikajionee kwa binafsi yangu namna wanavyofurahia Maisha yao pindi wakiwa mtungi.

Binafsi sijawahi kunywa kilevi chochote mpaka miaka hii 27 niliyonayo mpaka sasa.

Kheri ya Mwaka mpya Wakuu.
 
Nakushauri tu kitu kimoja ukishakuwa mwanachama mwenzetu ukipiga vitu vikakuzidi hadi kushindwa kumove kama unalala sehemu we lala tu ila usilalie tumbo maana utakuwa compromised kwenye maeneo yenye wahuni hakikisha Unalalia mgongo unakuwa unatizama mbingu.Nakushauri anza na unyama huo hapo chini kibajeti zaidi
20230102_111112.jpg
 
Habari wana Jf poleni na Majukumu ya kazi.

Kila Mwaka una kuja kwa namna yake ila mwaka huu nauona unanikalia tofauti kama si vibaya. Maana Toka Mwaka uanze najikuta katika Hali ya sintofahamu Juu ya hisia hii ya Ajabu inayonipata.

Hisia zenyewe ni jinsi nawatafakari watu wanaokunywa pombe kuona wanafaidi sana na kupata muda mzuri kujiondoa na stress ndogo ndogo.

Hii hali inanitia shauku sana nami nijiingize katika kundi hilo nikajionee kwa binafsi yangu namna wanavyofurahia Maisha yao pindi wakiwa mtungi.

Binafsi sijawahi kunywa kilevi chochote mpaka miaka hii 27 niliyonayo mpaka sasa.

Kheri ya Mwaka mpya Wakuu.
Daby Uzi wako huu
 
Kwa huo umri wako wa miaka 27, una uwezo wa kujiamulia mambo yako mwenyewe. Hata ukitaka kuvuta bangi, wewe vuta tu. Ukitaka pia kujaribu madawa ya kulevya, wewe jaribu tu.

Maana hakuna namna nyingine ya kukusaidia mtu wa umri wako.
 
Nakushauri tu kitu kimoja ukishakuwa mwanachama mwenzetu ukipiga vitu vikakuzidi hadi kushindwa kumove kama unalala sehemu we lala tu ila usilalie tumbo maana utakuwa compromised kwenye maeneo yenye wahuni hakikisha Unalalia mgongo unakuwa unatizama mbingu
Ee kazi mbona
 
Kwa huo umri wako wa miaka 27, una uwezo wa kujiamulia mambo yako mwenyewe. Hata ukitaka kuvuta bangi, wewe vuta tu. Ukitaka pia kujaribu madawa ya kulevya, wewe jaribu tu.

Maana hakuna namna nyingine ya kukusaidia mtu wa umri wako.
Au sio ?!
 
Habari wana JF poleni na Majukumu ya kazi.

Kila Mwaka una kuja kwa namna yake ila mwaka huu nauona unanikalia tofauti kama si vibaya. Maana Toka Mwaka uanze najikuta katika Hali ya sintofahamu Juu ya hisia hii ya Ajabu inayonipata.

Hisia zenyewe ni jinsi nawatafakari watu wanaokunywa pombe kuona wanafaidi sana na kupata muda mzuri kujiondoa na stress ndogo ndogo.

Hii hali inanitia shauku sana nami nijiingize katika kundi hilo nikajionee kwa binafsi yangu namna wanavyofurahia Maisha yao pindi wakiwa mtungi.

Binafsi sijawahi kunywa kilevi chochote mpaka miaka hii 27 niliyonayo mpaka sasa.

Kheri ya Mwaka mpya Wakuu.
Kalibu sana chama la wana.
 
Utajutraaaa
 
Kilevi kina gharama na kinakuja na extras
Piga hesabu kwa walevi wanavyotumia hela zao kwa siku x wiki x mwezi x mwaka halafu tafakari
Ila ni uamuzi wako pia kama umelifikiria hilo na umeamua kufanya good luck
 
Habari wana JF poleni na Majukumu ya kazi.

Kila Mwaka una kuja kwa namna yake ila mwaka huu nauona unanikalia tofauti kama si vibaya. Maana Toka Mwaka uanze najikuta katika Hali ya sintofahamu Juu ya hisia hii ya Ajabu inayonipata.

Hisia zenyewe ni jinsi nawatafakari watu wanaokunywa pombe kuona wanafaidi sana na kupata muda mzuri kujiondoa na stress ndogo ndogo.

Hii hali inanitia shauku sana nami nijiingize katika kundi hilo nikajionee kwa binafsi yangu namna wanavyofurahia Maisha yao pindi wakiwa mtungi.

Binafsi sijawahi kunywa kilevi chochote mpaka miaka hii 27 niliyonayo mpaka sasa.

Kheri ya Mwaka mpya Wakuu.
Kama kweli unataka kuingia kwenye hiki chama jitahidi upate mentor mzuri kama mimi Jr ili uwe unakunywa pombe za afya na za faida...

Lakini ngoja nikupe kanuni 3 za msingi za kuanza nazo, utakapoanza kunywa pombe

Jitambue wewe ni nani
Fahamu uko wapi
Jua unachokifanya
 
Back
Top Bottom