Natamani ningekua naishi Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani ningekua naishi Iringa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanganyika1, Aug 5, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Leo nimekuja Iringa, nime nunua vocha ya airtel na kuingiza mara msg 2 zikaingia. ya kwanza ni zawadi ya sms 100 na ya pili ni kifurushi cha mb 200. nikaanza kujiuliza inamaana hizi zawadi ni kwa watu wa Iringa pekee? yaani ni promo maalum? au ni zawadi za ramdhani? au ni zawadi za kila mwanzoni mwa mwezi? jibu sijapata. wana jamii naombeni jibu ili nifanye maamuzi kama ni Iringa au Dar. mana kwa mtindo huu maisha ni rahis coz no more cost of bundles ni kununua vocha na kuendelea kupruzi na kutwanga kwa kwenda mbele.
   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  No comment,
  wenzio wanakwambia hamia airtel,
  sio hamia Iringa,
  Anyway usisahau kutuletea kamnyama....
  ENJOY YOUR STAY
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hizo offer zipo mikoa mingi sio iringa tu
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Kwa baridi lililopo pale iringa kwakweli sina hamu!
  Nilienda nikiwa white nimerudi nikiwa superblack!
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  njoo kihesa tunywe pombe mkuu...!

  iringa hoyeee
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hakuna ubishi kwamba Iringa ni pazuri, lakini kuhamia huko kwa sababu ya promotion ya simu ni ujinga!?
   
 7. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Au unataka kuchukua kozi ya kujinyonga?
   
 8. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,167
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  Usisahau kupita pale makanyagio kwa chua
   
 9. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hata uku Manyara hiyo promo ipo........!
   
 10. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usihamie iringa kisa ofa,cku zikiamia somalia,sudan au libya je na huko utaamia?
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  soma masharti ya kutumia......ofa gani inayoanza saa sita usiku hadi saa 12 asubuhi..................
   
 12. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Usipende sana vya bure, huwa vina "walakini".
   
 13. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  <br /> <br / wacha muchezooo!!!
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hawajakukata hela?
   
 15. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  siunajua Iringa kulivyo na baridi, basi wanaufanyia promotion huo mkoa ili watu walau waupende.
   
 16. d

  december Member

  #16
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inga oyeeeeee!!! karibu gangilonga
   
 17. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Wahehe watamu aisee!
   
 18. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Hapo ndipo wananikera. Hadi sasa nime accumulate dakika za bure 100 lakini nashindwa kuzitumia maana huo muda wao mie nimelala na siwezi acha kulala kisa muda wa ofa.
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Uhamie iringa kisa airtime,iyo kali.
  Mbona kuna jamaa zangu wanasema toka vyuo vianze huo mkoa haushikiki kwa gharama za maisha!Ukianza na accomodation
   
 20. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #20
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Huu mkoa kwa aina ya baridi nadhani upandishwe hadhi uwe hifadhi ya taifa maana baridi la pale mufindi na makambako halipatikani duniani kote!
   
Loading...