L lee jack JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,082 Reaction score 1,917 Sep 17, 2023 #41 Mkuu mbona kitabu kina page tatu tuu
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,367 Reaction score 46,207 Sep 17, 2023 #42 Pamoja na kua sina kazi ya kueleweka na wala sio ya nilichosomea ila bado nataka kusoma zaidi. Sijutii kusoma hata nisipopata kazi niuiyosomea, elimu ni hazina kubwa kwangu. Kama ulisoma halafu ukawaza kupigwa kiyoyozi huku ukisubiri 3M mwisho wa mwezi ndo tatizo hilo..
Pamoja na kua sina kazi ya kueleweka na wala sio ya nilichosomea ila bado nataka kusoma zaidi. Sijutii kusoma hata nisipopata kazi niuiyosomea, elimu ni hazina kubwa kwangu. Kama ulisoma halafu ukawaza kupigwa kiyoyozi huku ukisubiri 3M mwisho wa mwezi ndo tatizo hilo..
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 4,348 Reaction score 6,602 Sep 17, 2023 #43 lee jack said: Mkuu mbona kitabu kina page tatu tuu Click to expand... Umekisoma lakini au umeangalia page zipo ngapi
lee jack said: Mkuu mbona kitabu kina page tatu tuu Click to expand... Umekisoma lakini au umeangalia page zipo ngapi
Jobless_Billionaire JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 5,516 Reaction score 14,012 Sep 17, 2023 #44 The Knowledge Seeker said: Umekisoma lakini au umeangalia page zipo ngapi Click to expand... Mtumie na pdf ya dictionary maana lugha inamchanganya
The Knowledge Seeker said: Umekisoma lakini au umeangalia page zipo ngapi Click to expand... Mtumie na pdf ya dictionary maana lugha inamchanganya