Nina advanced diploma in business management majoring in marketing.Help me wadau.Kama kuna vacancies.Am tired with this captivity of negativity life.
Jiajiri ndugu, hizi kazi hata kama unalipwa Millioni 15 kwa mwezi, bado future ina giza, kujiajiri ndo mpango muzima, hata kama huna capital, start small, kuwa na utamaduni wa kufanya saving, na itese akili yako ifikirie la kufanya na kidogo ukipatacho, waaaallaaahhiiii utatoka
pole xana kaka we share the same experience umenigusa mno...mm nishafanya uamuz nishakopa na naingia ujasiriamali, kaz rasmi hz znabana mno maslah kiduchu na hakyna mabadiliko miaka na miaka, utaishia kuvaa tai tu ukipata shda ua 50000 unadata!.... nasubir mkopo uingie nisepe zangu
Ni kweli uyasemayo ST! Ni kweli upo ugumu hakuna anayebisha hilo ila zipo rewards za kutosha in the end ukivumilia na ni sustainable tofauti na kuwa kwenye payroll ya mtu. Actually waajiriwa wengi nikiwemo mm ni modern slaves hata tukatae huo ndio ukweli!
Fanya kazi kama mtumwa ili baadae uishi kama mfalme.Maisha si rahisi wandugu wapendwa,ujasiriamali huu unaozungumzwa kiwepesi hapa utapotosha watu,kujiajiri ni kazi kama kuajiriwa tena pengine ni ngumu kuliko kuajiriwa ila ujasiriamali haukwepi,lazima ufanyike maana ajira zenyewe sio guarantee,hukawii kupigwa chini.
Ndugu usiache kazi kabla biashara yako haijasimama otherwise utajuta.Wewe ni kijana na huu ndio wakati wako wa kujijenga so you must work harder to make it,hapa namaanisha kwamba lazima ubaki na ajira yako huku ukiwa na mradi wako pembeni,mradi ukishasimama ukazalisha hapo ndio unaweza kuacha kazi.Fanya savings,jinyime ili upate mtaji na jitume ktk kusimamia hiyo biashara

Nataka nitofautiane na wewe kidogo xfactor, hapo unaposema usiache kazi kabla biashara haijasimama, kwa experience ndogo niliyoyanayo japokuwa inategemeana na aina ya biashara lakini mtu wa kufanya biashara isimame mapema ni wewe uliye-invest.
Kamwene!!Kugaya haja ya kuvipa muvina vanu tulitofauti moli moli tufika hela. Ene uvipe suva na muhango mnofu uliga hela vanu halafu mwitakila bure halafu tutumila ludali kuvapatanisa badala ya kutumila kuvika mihango ja maendeleo. Nyongise kwa kunzelewa na ndilumba sana!
Kamwene!!
Nikiukumbuka msemo wa "acha kazi,uone kazi.........."najihurumia. Kazi mshahara mduchu, pia sio career yangu. Nimetafuta kazi miaka tangu niajiriwe 2011 nikitoka chuo nikajua najishikiza tu. Kumbe dah! miaka inakatika umri unaenda hela haiseviki ingawa nipo single pia pepo wa madeni ananiandama.
Najiona napoelekea ntakuwa tapeli.
God bless me and all who feel the hardships like I do.
Aale Mwagito, napuliha sana, uhongitse!Kugaya haja ya kuvipa muvina vanu tulitofauti moli moli tufika hela. Ene uvipe suva na muhango mnofu uliga hela vanu halafu mwitakila bure halafu tutumila ludali kuvapatanisa badala ya kutumila kuvika mihango ja maendeleo. Nyongise kwa kunzelewa na ndilumba sana!