Nikiukumbuka msemo wa "acha kazi,uone kazi.........."najihurumia.Kazi mshahara mduchu,pia sio career yangu.Nimetafuta kazi miaka tangu niajiriwe 2011 nikitoka chuo nikajua najishikiza tu.Kumbe dah!miaka inakatika umri unaenda hela haiseviki ingawa nipo single pia pepo wa madeni ananiandama.Najiona napoelekea ntakuwa tapeli.God bless me and all who feel the hardships like I do.
Mkopo uliniyumbisha nilijaribu na najuta.sikujipanga nilikurupuka.naapply kazi kama kila tangazo ni chache sana nimejibiwa.
Nikiukumbuka msemo wa "acha kazi,uone kazi.........."najihurumia.Kazi mshahara mduchu,pia sio career yangu.Nimetafuta kazi miaka tangu niajiriwe 2011 nikitoka chuo nikajua najishikiza tu.Kumbe dah!miaka inakatika umri unaenda hela haiseviki ingawa nipo single pia pepo wa madeni ananiandama.Najiona napoelekea ntakuwa tapeli.God bless me and all who feel the hardships like I do.
Nawakaribisha ktk Entrepreneurial Organization yangu Victorious Youth Enterprises Group-VYEG, ila wavivu hawaruhusiwi uwe mchapa kazi...!! (contact me at: victoriouy@yahoo.com)
pole sana rafiki..hayo bwana hata mimi yaliwahi nikuta nikaamua kufanya uamuzi mgumu nikaacha kazi. lakini jaribu kuongea na mwajiri wako umuelezee hali halisi ya maisha jinsi yalivyoshuka(hayajapanda) na kuwa magumu anaweza kukufikiria akajua namna ya kukusaidia!
Nikiukumbuka msemo wa "acha kazi,uone kazi.........."najihurumia. Kazi mshahara mduchu, pia sio career yangu. Nimetafuta kazi miaka tangu niajiriwe 2011 nikitoka chuo nikajua najishikiza tu. Kumbe dah! miaka inakatika umri unaenda hela haiseviki ingawa nipo single pia pepo wa madeni ananiandama.
Najiona napoelekea ntakuwa tapeli.
God bless me and all who feel the hardships like I do.