Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,358
Nawakubali sana watu wa mkoa wa mara kwa kutokua na tabia za unafiki kwa mtu au kujipendekeza kwa mtu wala kununuliwa kwa kuhongwa buku tano tano ili wahudhurie mikutano ya wanasiasa..sasa nasubiri kwa hamu siku lowasa akikanyaga ardhi ya kue nione mwamko wa wale jamaa..na kama atapata hata robo ya mafuriko{kama haya ya watu anaowanunua mikoa mingne} basi na mie kura yangu itakua kwake.
Asanteni.
Asanteni.