Unatamani kusikia CHADEMA imefutwa wakati bado unahangaika na deductions za $20 zinakutoa jasho kutoka chama cha walimu , mwalimu Kimbesa.
Pambaneni mpate reforms muwe na vyama imara vya walimu sio kutegemea huruma za CCM na mwenyekiti wake ndio maana mnakuwa toilet paper kuwasaidia kuiba kura kila mwaka.
Mmeigeuza taaluna ya ualimu kuwa ya ajabu wakati ni taaluma ya kuheshimika duniani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.