Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Mie napenda yakuchemsha
Mie napenda yakuchemsha
mimi napenda ya kukaangwa na mafuta
Ya mjini eti mnayala kwa ndimu..pilipili ... Chumvi na chachandu
Chochote cha kijijini ni kitamu kwakuwa ni fresh hata kipochi manyoya
Mie kama yakukaangwa napenda yale yenye sukari kwa juu
Kuchoma, kuchemsha(kupika) na kuokaHebu yataje kwa kufuata silabi
Matsebele matsebeleee!!!