Chochote cha kijijini ni kitamu kwakuwa ni fresh hata kipochi manyoya
aiseeee hapo juu ya sufuria ni nini?
Dawa za kuongeza nguvu za kiume. Hapo zinapata mvuke badae unapasua unakunywa .. Viagra ikasome
Du mkuu umetisha kazi ngumu kutembea distance ndefu hakuna kujifungua kwa operations
Kijumu chama chawala
Hata niyachomeje hayajawahi kuwa matamu kama ya chijijini.
FD ni wewe ndiye uliyemponza, sasa anafikiri ananijua, tena ameanza mambo ya elimu kama vile kweli anayo,
wewe tafit kwenye hii forum huwa hatuongelei elimu maana tunajua kila mtu anayo humu, tunachotaka ni hoja bro Ditopile!