Natamani kuona Polisi wakienda kulinda amani mataifa ya nje (Peacekeeping)

Mie nimefunga mjadala mtajuana wenyewe huko na majeshi yenu ila nilichojifunza kwenu bado mna utoto mwingi kwenye majukumu yenu,tunzeni siri zenu.

Unaowachukia Leo hao kesho utaenda kufungua kesi kwao .

Kubali mumetofautiana majukumu ktk utendaji wenu.

Heshimu kazi za wenzenu.

Kesho mtawatukana walimu ili hali wamewatoa ujinga.

Shirikianeni mjengi nchi .!!!!
 
Alafu polisi wana kazi nyingi sana kuliko wajeshi, wao wana subili vita tu vita itatokea lini sasa. polisi wana walinda usiku kucha mna jamba jamba tu usiku alafu mnataka waende wote how come
 
Salaam;
Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sura ya tisa, ibara ya 147, kifungu kidogo cha (4).

Tanzania ina majeshi manne ambayo ni:
1. Jeshi la Ulinzi
2. Jeshi la Polisi
3. Jeshi la Magereza
4. Jeshi la kujenga taifa.

Sasa kwanini kwenye Peacekeeping waende Jeshi la Ulinzi pekee yao wakati tuna majeshi mengi hapa nchini? Natamani walau siku moja nije nione au kusikia Kuna kikosi cha jeshi la polisi kimekwenda Congo au Sudan kwa ajili ya Peacekeeping au kusikia kuna Contigent ya jeshi la polisi ipo Sudan.

Kwa maana polisi nao ni jeshi la polisi na inatambulika duniani kote kuwa Tanzania kuna jeshi la polisi. Au nyie mnaonaje? Kwenu wadau.
Cc popoma03
Saguda47
.
Majeshi hayo uliyoyataja, yamegawana majukumu. Jeshi la polisi wajibu wake ni ulinzi na usalama wa raia na mali zake ndani ya mipaka.
 
.
Majeshi hayo uliyoyataja, yamegawana majukumu. Jeshi la polisi wajibu wake ni ulinzi na usalama wa raia na mali zake ndani ya mipaka.
Usinipeleke nisipokuwepo, mamlaka zinazodili na mambo yanayohusu raia policing, sio jeshi. Waitwe polisi
 
Ni mgawanyo wa majukumu wao hudili sana na ulinzi wa ndani,sio kanakwamba watashindwa kufanya kazi wanazofanya jwtz ,ni simple kuliko unavyofikiria wewe.

UN huwahitaji kwa ajili ya professional zao na usaili wao ni mgumu sana,

Jwtz mpaka la saba na form asiyekua na professional yoyote wanaenda.
Some time ukila cha arusha ni bora ukakojoa na kwenda kulala, ni bangi hiyo huna unachokijua
 
barafuyamoto
Hukulazimishwa kuchangia, marekani wanatumia jeshi lao kila sehemu mpaka kwenye magereza mpaka maximum protection, lakini askari magereza nao wapo lakini hawaitwi jeshi la magereza, kinyume na huku kwetu kuitwa jeshi lakini kuwa huna criteria za kuitwa jeshi
 
Alafu polisi wana kazi nyingi sana kuliko wajeshi, wao wana subili vita tu vita itatokea lini sasa. polisi wana walinda usiku kucha mna jamba jamba tu usiku alafu mnataja waendd wote how come
Acha mlomo wewe, wenye majukumu unawajua wewe, wale wanaolinda kwenye mipaka ni akina nani? Hao unaosema wewe wana majukumu mengi inatakiwa ujue kuwawao wenyewe wanalindwa ndio maana wanafanya kazi zao, kikitpkea cha kutpkea wanaamniwa warudi kwa familia zao watu wafanye kazi zao. Unalijua hilo? Nenda kwenue maeneo ua mipakani huko ndio ujue
 
.
Majeshi hayo uliyoyataja, yamegawana majukumu. Jeshi la polisi wajibu wake ni ulinzi na usalama wa raia na mali zake ndani ya mipaka.
Tatizo sio majukumu yao, tatizo ni jina halisadifu vile wanavtoitwa hawana sifa za kuitwa hivyo, wao ni Polisi. Muundo unakataa kwasababu constabulary sio regimental, vile vile hawana criteria za kuitwa hivyo. Muundo wao hauko kijeshi. Wao ni idara latika wizara ya mambo ya ndani, kuna uhamiaji, magereza. Ukinibishia keshokutwa utaskia hata wale wanyama pori nao watataka waitwe jeshi
 
Hukulazimishwa kuchangia, marekani wanatumia jeshi lao kila sehemu mpaka kwenye magereza mpaka maximum protection, lakini askari magereza nao wapo lakini hawaitwi jeshi la magereza, kinyume na huku kwetu kuitwa jeshi lakini kuwa huna criteria za kuitwa jeshi
Jeshi la marekani sio blueprint ya majeshi yetu!
 
Tatizo sio majukumu yao, tatizo ni jina halisadifu vile wanavtoitwa hawana sifa za kuitwa hivyo, wao ni Polisi. Miundo unakataa kwasababu constabulary sio regimental, vile vilw hawana criteria za kuitwa hivyo. Muundo wao hauko kijeshi.
Ooh, kumbe ishu ni jina jeshi la polisi? Ngoja niingie ktk website yao nione wao wanajiitaje maana yawezekana sisi wananchi ndio tunawaita jeshi, nitarudi!
 
Ooh, kumbe ishu ni jina jeshi la polisi? Ngoja niingie ktk website yao nione wao wanajiitaje maana yawezekana sisi wananchi ndio tunawaita jeshi, nitarudi!
Wamebadilisha jina ili kujiita jeshi lakini bado muundo unakataa, wao ni constabulary, kasome means what. Kama wanajiita jeshi inamaana hata maafisa wao itabidi watambulike kama maafisa wa jeshi lakini maafisa wa jeshi ni lazima wapitie military academy. Sasa hapo. Duniani Ili uwe afisa wa jeshi kuna military academy, mfano Uingereza Sandhurst na vyenginevyo. Sasa je kuna military academy inayowatambua?
Wao ni polisi sio jeshi la polisi
You know what policing means?
 
Ooh, kumbe ishu ni jina jeshi la polisi? Ngoja niingie ktk website yao nione wao wanajiitaje maana yawezekana sisi wananchi ndio tunawaita jeshi, nitarudi!

20180321_200201.png

Ni jeshi la polisi, jeshi kwa kizungu ni nini kwani?? Sioni tatizo la jina jeshi.
Police force, army force etc.
 
Wamebadilisha jina ili kujiita jeshi lakini bado muundo unakataa, wao ni constabulary, kasome means what. Kama wanajiita jeshi inamaana hata maafisa wao itabidi watambulike kama maafisa wa jeshi lakini maafisa wa jeshi ni lazima wapitie military academy. Sasa hapo. Duniani Iliuweafisa wa jeshi kuna military academy, mfano Uingereza Sandhurst na vyenginevyo. Sasa je kuna military academy inayowatambua?
Wao ni polisi sio jeshi la polisi
You know what policing means?
Sio jeshi, ukisema jeshi unapoteza maana yake. Ni JESHI LA POLISI.
 
Back
Top Bottom