Natamani kuolewa

Natamani kuolewa

dtf

Senior Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
121
Reaction score
12
jaman nataman sana kuolewa.napenda niwe na mume wangu na familia yangu.wanaume ninaowapata c waoaji na umri unazid kwenda.nina miaka 27 nipo mwaka wa 2 accounts.cjui nifanyeje nipate mume ambaye atakuja kwangu kwa nia ya kunioa.nasali sana mungu anipe mume bora.naiman ipo cku atanijibu kilio changu.naomba ushauri wangu nifanye mbinu gan nipate mume ambaye ni mchamungu na mwenye hofu na mungu.cjui wanapatikana wap wanaume waoaji.ushauriwenu tafadhal
 
Hii promo

Suburi tuu kwa tangazo hili jiandae kwa pm
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mimi pia natafuta mke mwenye mapenzi ya kweli, ikiwa utaridhika na mimi ni pm.
 
Mmmmmmmmmmmmh!

Ukijua wewe ni mwanamke wa AINA GANI kumpata mume anaekufaa haiakuwa shida! All you will have to do is LOOK AROUND YOU!
Sio kuwa wanaume wa kuoa hakuna basi tu, nabii hakubaiki nyumbani kwao.

Wtu wengi sanaa wanaingaga tricky situation. WEWE MWANAMKE WA AINA FLANI AFU UNATAKA MWANAUME TOFAUTI NA WEWE! WE ALL WANT A BETTER DEAL! BUT FOR HOW LONG??????????

Kabla sijalijua hili nilisumbka sanaaa! It took me time but i figure it out in the end. I am a spoiled little brat, ambae nafanya nachojisikia as long as i can remember. And kutokana na kuwa wa mwisho kuzaliwa na CARGO nilizopigishwa na Mama Lara not to mention the Millitary training of being raised A WOMAN properly incluing heavy cooking, washing, cleaning and DISCIPLINE . My oooh my!

Now that I AM MY OWN BOSS, I HATE COOKING, CLEANING ET AL! Napenda kula out, kujirelax,kustarehe na kuji spoil just MAKING IT UP TO MYSELF FOR THE LOST TIME!!!!!!! Better late than never.

Sasa basi nilikuwa nafanya blander katika kuchagua wanaume. I WAS LOOKING FOR A MAN FIT FOR MY OLD SELF! What i used to be. What my mama taught me how good man is supposed to be. Intelligent,lenient mother in law, church going, hard working, in my ability to control, something less strong than my father. Ukimpata sasa NDO KIMBEMBE! HAMDUMUUUU! WALA MAMO YA KUOANAHAYAFIKI!

I am a LUCKY PERSON AFTER ALL i do pray a lot. Nikaa nikiwapata sasa MY NEW CAN'T STAND THEM!!!!!!!!!!!! Ndo unakuta kijana mwenzio GOOD LOOKING sio utani, ila hajajijenga, so that means COOKING, CLEANING, KUKOPESHANA, OUTING SAHAU, kUKURUPUSHANA KWEDA Church na kwenye maombi, kusindikizana kwaya, Pombe kali unakunywa kwa kujificha, SHOPPING NDOTO, KUZEEKEA KENYE KOCHI LA TV, Not to mention Hypocracy ya kujifanya umerizika N YOU ARE SO PROUD OF HIM wakati kimoyo moyo unajisemea WHAT A FAILURE!!!!!!!!!!! Mi nabwaga manyanga. AGAIN!!!!

Ila now I KNOW WHO I AM AND WHAT I WANT!!!!!!! Akija kijana bado hajajipaga, namwambia, SWEETY, YOU ARE EVEY WOMANS DREAM MAN, BUT HONEY I AM PAST DREAMING, YOU ARE GOOD MAN N ALL, BUT CERTAINLY NOT M TYPE!!!!!!!!!! HII NAMBA WAACHIE WAKUBWA ZAKO! SOMETIME WHEN YOU ARE MUCH MUCH OLDER, WISE MAYBE RICHER YOU MIGHT HAVE THE OPPORTUNITY TO PLAY IN OUR CHAMPIONS LEAGUE (UEFA WHERE THE HEART DOESNT HAVE A CHANCE! ONLY LOGIC)

My point is maybe unatafuta MUME TOFAUTI NA WEWE TABIA YAKO ILIVO! ITAKUWA NGUMU SANAA KUMPATA!
 
580144_403051999805120_2119688081_n.jpg
 
Himidiniiiiiiii kuja huku utoe ushauri....
Mwalimu mkuu Excel, njoo na team yako uje kufundisha mutu huku iko kwama....
 
Endelea kumuomba Mungu...!

Iko siku atajibu maombi yako!! Kila la heri.
 
jaman nataman sana kuolewa.napenda niwe na mume wangu na familia yangu.wanaume ninaowapata c waoaji na umri unazid kwenda.nina miaka 27 nipo mwaka wa 2 accounts.cjui nifanyeje nipate mume ambaye atakuja kwangu kwa nia ya kunioa.nasali sana mungu anipe mume bora.naiman ipo cku atanijibu kilio changu.naomba ushauri wangu nifanye mbinu gan nipate mume ambaye ni mchamungu na mwenye hofu na mungu.cjui wanapatikana wap wanaume waoaji.ushauriwenu tafadhal

Tusichukulie ni utani au masihala niandikie email tuweze kuwasiliana mie niko Namibia tutawasiliana na kupeana simu hata tukishindwa kuwa wapenzi na kasha wachumba basi urafiki tatatosha. Sihitaji kukuPM bali nakupa email yangu ambayo ni ibrahimshelembi@yahoo.com
 
unataka mume mcha Mungu wakati wewe tu jina Mungu unalianza kwa herufi ndogo!!
 
jaman nataman sana kuolewa.napenda niwe na mume wangu na familia yangu.wanaume ninaowapata c waoaji na umri unazid kwenda.nina miaka 27 nipo mwaka wa 2 accounts.cjui nifanyeje nipate mume ambaye atakuja kwangu kwa nia ya kunioa.nasali sana mungu anipe mume bora.naiman ipo cku atanijibu kilio changu.naomba ushauri wangu nifanye mbinu gan nipate mume ambaye ni mchamungu na mwenye hofu na mungu.cjui wanapatikana wap wanaume waoaji.ushauriwenu tafadhal

Mkuu nitumie PM tuweke mipango sawa. Mwenyewe nina mpango wa kuoa ndani ya mwaka huu au mwaka ujao mwanzoni.
 
Ucwe na shaka hujachelewa sana,ungekua na 35,ndo ungeanza kuogopa
 
Akiwaza na ule msoto wa miaka 5 ya kutafuta kazi baada ya chuo,stress nazo zinazid kuongezeka…
Welcome street bado mwaka mmoja…bila shaka uko kile chuo chetu pale
 
Endelea kumuomba Mungu...!

Iko siku atajibu maombi yako!! Kila la heri.

aisee umepotea sana neylu!! where were you my friend?

umeona kuolewa ilivyo kazi eenh??

as if unaomba kazi!!! lazima usugue viatu mpaka kuolewa..
 
wakati tukiendelea kupata maoni mbali mbali kutoka kwa wadau...

tupate kiburudisho kidogo...

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom