wakati tukiendelea kupata maoni mbali mbali kutoka kwa wadau...
tupate kiburudisho kidogo...
hahaha Excel,team video upo juu!
Dunia imeisha,jaman nataman sana kuolewa.napenda niwe na mume wangu na familia yangu.wanaume ninaowapata c waoaji na umri unazid kwenda.nina miaka 27 nipo mwaka wa 2 accounts.cjui nifanyeje nipate mume ambaye atakuja kwangu kwa nia ya kunioa.nasali sana mungu anipe mume bora.naiman ipo cku atanijibu kilio changu.naomba ushauri wangu nifanye mbinu gan nipate mume ambaye ni mchamungu na mwenye hofu na mungu.cjui wanapatikana wap wanaume waoaji.ushauriwenu tafadhal
kitulize watakuja,,,ngoja wazisake....hela imekua adimu , so is waoaji:mvutaji:jaman nataman sana kuolewa.napenda niwe na mume wangu na familia yangu.wanaume ninaowapata c waoaji na umri unazid kwenda.nina miaka 27 nipo mwaka wa 2 accounts.cjui nifanyeje nipate mume ambaye atakuja kwangu kwa nia ya kunioa.nasali sana mungu anipe mume bora.naiman ipo cku atanijibu kilio changu.naomba ushauri wangu nifanye mbinu gan nipate mume ambaye ni mchamungu na mwenye hofu na mungu.cjui wanapatikana wap wanaume waoaji.ushauriwenu tafadhal
Mmmmmmmmmmmmh!
Ukijua wewe ni mwanamke wa AINA GANI kumpata mume anaekufaa haiakuwa shida! All you will have to do is LOOK AROUND YOU!
Sio kuwa wanaume wa kuoa hakuna basi tu, nabii hakubaiki nyumbani kwao.
Wtu wengi sanaa wanaingaga tricky situation. WEWE MWANAMKE WA AINA FLANI AFU UNATAKA MWANAUME TOFAUTI NA WEWE! WE ALL WANT A BETTER DEAL! BUT FOR HOW LONG??????????
Kabla sijalijua hili nilisumbka sanaaa! It took me time but i figure it out in the end. I am a spoiled little brat, ambae nafanya nachojisikia as long as i can remember. And kutokana na kuwa wa mwisho kuzaliwa na CARGO nilizopigishwa na Mama Lara not to mention the Millitary training of being raised A WOMAN properly incluing heavy cooking, washing, cleaning and DISCIPLINE . My oooh my!
Now that I AM MY OWN BOSS, I HATE COOKING, CLEANING ET AL! Napenda kula out, kujirelax,kustarehe na kuji spoil just MAKING IT UP TO MYSELF FOR THE LOST TIME!!!!!!! Better late than never.
Sasa basi nilikuwa nafanya blander katika kuchagua wanaume. I WAS LOOKING FOR A MAN FIT FOR MY OLD SELF! What i used to be. What my mama taught me how good man is supposed to be. Intelligent,lenient mother in law, church going, hard working, in my ability to control, something less strong than my father. Ukimpata sasa NDO KIMBEMBE! HAMDUMUUUU! WALA MAMO YA KUOANAHAYAFIKI!
I am a LUCKY PERSON AFTER ALL i do pray a lot. Nikaa nikiwapata sasa MY NEW CAN'T STAND THEM!!!!!!!!!!!! Ndo unakuta kijana mwenzio GOOD LOOKING sio utani, ila hajajijenga, so that means COOKING, CLEANING, KUKOPESHANA, OUTING SAHAU, kUKURUPUSHANA KWEDA Church na kwenye maombi, kusindikizana kwaya, Pombe kali unakunywa kwa kujificha, SHOPPING NDOTO, KUZEEKEA KENYE KOCHI LA TV, Not to mention Hypocracy ya kujifanya umerizika N YOU ARE SO PROUD OF HIM wakati kimoyo moyo unajisemea WHAT A FAILURE!!!!!!!!!!! Mi nabwaga manyanga. AGAIN!!!!
Ila now I KNOW WHO I AM AND WHAT I WANT!!!!!!! Akija kijana bado hajajipaga, namwambia, SWEETY, YOU ARE EVEY WOMANS DREAM MAN, BUT HONEY I AM PAST DREAMING, YOU ARE GOOD MAN N ALL, BUT CERTAINLY NOT M TYPE!!!!!!!!!! HII NAMBA WAACHIE WAKUBWA ZAKO! SOMETIME WHEN YOU ARE MUCH MUCH OLDER, WISE MAYBE RICHER YOU MIGHT HAVE THE OPPORTUNITY TO PLAY IN OUR CHAMPIONS LEAGUE (UEFA WHERE THE HEART DOESNT HAVE A CHANCE! ONLY LOGIC)
My point is maybe unatafuta MUME TOFAUTI NA WEWE TABIA YAKO ILIVO! ITAKUWA NGUMU SANAA KUMPATA!
jaman nataman sana kuolewa.napenda niwe na mume wangu na familia yangu.wanaume ninaowapata c waoaji na umri unazid kwenda.nina miaka 27 nipo mwaka wa 2 accounts.cjui nifanyeje nipate mume ambaye atakuja kwangu kwa nia ya kunioa.nasali sana mungu anipe mume bora.naiman ipo cku atanijibu kilio changu.naomba ushauri wangu nifanye mbinu gan nipate mume ambaye ni mchamungu na mwenye hofu na mungu.cjui wanapatikana wap wanaume waoaji.ushauriwenu tafadhal
ntaikomalia qulaleki mpaka ijulikane...
mmmmmmmmh... Kweli Mungu humpa kula mtu ubavu wake, ikitokea ukajichukulia ubavu wa mwenzako, hakika utakinywea kile kikombe Yesu alichonywea wakati anawafia waja wake...Mmmmmmmmmmmmh!