Bree ven
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 375
- 367
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!