Natamani kuoa, lakini

vile vigezo vyetu vile sidhani kama tunafanana kama wewe n boy muulize gal wako akuambie huwez pata mwanaume et ana kila aina ya sifa unayotaka n uongo mtupu vingine unaviongezea wewe na kuvipunguza wewe mwenyewe
vigezo stahiki mnavyovitaka ndio vipi
 

Vizuri sana mkuu. Ndio maana nimeweka wazi la moyoni hapa ili watu kama wewe wanipe mawazo. Nashukuru kwa ushauri wako mkuu.
 
Huenda na wewe usiwe na sifa zote anazohitaji mwanamke.
 

Mwanamke asipokamilika hapo, utachepuka tu.................
 
As long as your not Mr right, expect a human being, not someone perfect (Ms right). No one is going to be everything u have ever dreamt of. Tafuta angalau unayeona anamit some of vigezo vyako vya muhimu zaidi, mengine mtafundishana kadri muda unavyozidi kwenda.
 
lara 1 anakuhusu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kutokana na michango yako...ama kwa hakika unaitendea haki avatar yako.....THUMB UP
 

Well said mkuu!!
 

Aaaahh....shikamoo shem..
 
Sawa mkuu. Sema unakutana na binti akademikale yuko vizuri,aliscore single digit level zote za sekondari,chuo ana gpa nzuri tatizo linakuja hajui kingine chochote zaidi ya taaluma yake. Ni kazi kwa kweli.


Si ndio hayo unayoyataka.. Ajue sheria, siasa n.k
 
Majani hayahitaji ng'ombe kuishi bali ng'ombe huhitaji majani kuishi.

Hii thread ya mtu ambaye hana reality ya maisha. Labda muoaji kama ana uwezo wa kuumba mwanamke anayemtaka. Mbali na hapo futa suala la kuoa katika maisha yako.
 
Unaongea tu, tena wanaume wa aina yako ndo mwisho wa siku huwa wanaishia kuoa wanawake wa ajabu mpaka kila mtu anashangaa
 
Hii thread ya mtu ambaye hana reality ya maisha. Labda muoaji kama ana uwezo wa kuumba mwanamke anayemtaka. Mbali na hapo futa suala la kuoa katika maisha yako.

Soma mstari wa mwisho wa post yangu hapo juu iliyowekewa mabano.
 
kwa hiyo tuanze kwenda training za dini philosophy , sheria aisee kazi ipo unaanzaje kujadili siasa na mkeo mwishowe mtoboane macho

Hahahaa. Hapana,hizo siasa za kutoana macho ni siasa za walevi,wastaarabu hufanya siasa kwa hoja. Binafsi napenda mwanamke anaeweza kunipa changamoto kidogo,anajua jua vimambo,mbishi kidogo,asiekubali jambo kijinga jinga,asiefuata mkumbo. Lakini maoni ya watu hapa pia yanazingatiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…