Aliyezaa nae ni tabu tu. Mambo yataanzia pale atakapokuambia anaenda kuwasalimia watoto kwa mzazi mwenzie na atarudi kesho.Acha umalaya, kuna magonjwa kama Ukimwi na magonjwa ya ini.
Pia acha kulala na wanawake ovyo ovyo...
Kama unaogopa hao wadodogo wadogo.. tafuta mwanamke ambae amezaa watoto kuanzia wawili, hao huwa wengi wanakuwa wamekomaa na wanaamua kuishi maisha na age isishuke chini ya 35...
Uo mzeee ingia kwa ndoaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Miaka 27 ? Bado mdogo sana kula ujana[emoji1787][emoji1787] mkuu mimi ninamiaka 27 nitafute mwanamke wa miaka 36+?
Dada yako mimiNataka niendelezee kwako.
Nina kuzoom tu mzee mwenzangu hahahahahAcha umalaya, kuna magonjwa kama Ukimwi na magonjwa ya ini.
Pia acha kulala na wanawake ovyo ovyo...
Kama unaogopa hao wadodogo wadogo.. tafuta mwanamke ambae amezaa watoto kuanzia wawili, hao huwa wengi wanakuwa wamekomaa na wanaamua kuishi maisha na age isishuke chini ya 35...
Uo mzeee ingia kwa ndoaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nashangaa ana 27 anajipa stress tu watu tushavuka hapo wapa hatushtukiKama una 27... kutokana na geographical location ya Tanzania. Vumilia kama miaka 6 ndio uoe basi, maana kipindi una 33 + tafuta mtoto alie komaa kidogo au subiri ufikishe 35 + alafu uchukue alie komaa... mwanaume wa miaka 27 anakuwa hajakomaa sana, tofauti na mwanamke wa miaka 27... watoto wa kike wanawahi sana kukomaa kimaisha tofauti na Me [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa mkuu mchimba chumvi lazma nimuepuke hat nifkishe miaka 40+Nashangaa ana 27 anajipa stress tu watu tushavuka hapo wapa hatushtuki
Vuta subira wewe ukilazimisha mambo lazima uibukue na mchimbachumvi
26+ anakua ameshaanza kuzeeka zeeka miksa michirizi na makunyanzi usoni yani unaweza oneshwa manzi wa 26+ ukadhani ana 35-40 hivi labda ni make ups wanazopaka na vyakula wanavyokulaKama hao wasumbufu tafuta kuanzia 26+. Kila la kheri kiongozi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]26+ anakua ameshaanza kuzeeka zeeka miksa michirizi na makunyanzi usoni yani unaweza oneshwa manzi wa 26+ ukadhani ana 35-40 hivi labda ni make ups wanazopaka na vyakula wanavyokula
Mungu mkubwa, kakutunuku agness![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimehangaika vyakutosha, nmesalitiwa vya kutosha nikaamua niingie katika umalaya sasa nikawa mimi na ma bar maid, bar maid na mm, nikawa mtu wa hit n run lakini kwasasa sion faida yake zaidi umri unasonga na ninahitaji kuwa na mke na familia kwa ujumla.
Shida inakuja hivi vibinti vya sasa vyenye umri wa miaka 18 mpaka 25 hivi ambavyo vinakula ujana bado wewe uviingizie suala la kuoa vinaweza kukuelewa lakini je' vitatulia na kufanya maisha?
Kwan sasa hivi unaoa mtu kwaajili ya maisha japo kuhitaji papuchi ni mhim pia [emoji25][emoji25][emoji25] Vijana wa sasa tunakazi na tutapata kazi bora wazee wa zamani.
Hapa nnaona bora kuishi mwenyewe [emoji42][emoji42][emoji42] , maana hv vitoto havitambui maisha hv ninaona kwa watu pia navutia picha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu mkubwa, kakutunuku agness![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu suggestion zako ziko VOID sana.Kama una 27... kutokana na geographical location ya Tanzania. Vumilia kama miaka 6 ndio uoe basi, maana kipindi una 33 + tafuta mtoto alie komaa kidogo au subiri ufikishe 35 + alafu uchukue alie komaa... mwanaume wa miaka 27 anakuwa hajakomaa sana, tofauti na mwanamke wa miaka 27... watoto wa kike wanawahi sana kukomaa kimaisha tofauti na Me ππππ
Kweli kabisa, ila mi naona sijapata wakuishi nae em nipe experience kidogo kakamkuu suggestion zako ziko VOID sana.
mm nimezaa at 21 years na nimeoa at 25 yrs na miaka yangu yote sijawah suluisha kesi kwa mhumbe wala sheikh wala mchungaji wala jilani.ni mara moja tu mzee wangu alishawah kuokoa jahazi.
sasa how come unasema kijana wa 27 years hajakomaa mzee.?
27 year?????????..Mbona unataka kuwalemaza vijana wewe kaka?????
mfano Nje kidogo ya mada.
Gen. James Kabarebe alikua entrusted na jukum la kuongoza vikosi vya rwanda kupigana congo akiwa na 25 years only???
wewe unazungumzia 27 years kuwa mtu hajakomaa ku handle mwanamke??
U CANT BE SERIOUS.
Hahaaa sihitaji mke kutoka aina yoyote ya mtandao wa kijamiiWrite your reply...njoo tufunge ndoa mi nna 25