Natamani kuoa lakini...

kweli mkuu,
 
Kwani kuna ubaya gani? Unaoa umri au mke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atazeeka mapema huyo mkuu [emoji1787][emoji1787]
 
Angalia usije ukadanguliwa na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikidanguliwa najidangua tu
 
yani una "tamani kuoa" mi nilijua una nia ya kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…