makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,567
- 108,869
Ww tafuta nguvu za kiwanda cha uzalishaji. Mambo ya kutafuta hela achia wazeeUwezo wa kumlisha ugali masaa 24 upo
Na kumvesha nguo za bukubuku upo
Nitampata wapi wakuridhia hali yangu ya umaskini
Siyo kila mwanamke anapenda kuwa golikipa. Kaoe Muha umpatie mtaji wa kukopesha vyombo uone kama hamtatoka.Uwezo wa kumlisha ugali masaa 24 upo
Na kumvesha nguo za bukubuku upo
Nitampata wapi wakuridhia hali yangu ya umaskini
Yupo wa kufanana nawe, tena atakayekuchukulia ulivyo. Muhimu una uwezo wa kuhudumia familia yako, OA.Nitampata wapi wakuridhia hali yangu ya umaskini
Mpeni mawasiliano yangu, natafuta mtu kama huyu!SERAN njoo uku umefikiwa