Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,444
Mwalimu naye akipata mtu sahihi kwa wakati sahihi ataoa.
Hata wewe pia rafiki.
Mwalimu naye akipata mtu sahihi kwa wakati sahihi ataoa.
Umeona eee..watu wenye matatizo huwa wanavigezo vingi sana.Atakuwa ana matatizo
HahahahaHata wewe pia rafiki.
Kabisa.Umeona eee..watu wenye matatizo huwa wanavigezo vingi sana.
huwa una mawazo kama yangu....Anakuwa amemkosa yule anaemtaka yeye kwa vigezo vyake. Ndio ile unaemtaka nae ana vigezo anavyovitaka ambavyo hauna.
Sijui kwanini ila huwa nafikiri wanaume hupata wakati mgumu zaidi ktk hili kuliko sisi ila huwa wanajifariji tu na suala la umri ambalo kwa upande wetu hatuna hiyo nafasi haswa kama unahitaji mtoto.
Upo sahihiAnakuwa amemkosa yule anaemtaka yeye kwa vigezo vyake. Ndio ile unaemtaka nae ana vigezo anavyovitaka ambavyo hauna.
Sijui kwanini ila huwa nafikiri wanaume hupata wakati mgumu zaidi ktk hili kuliko sisi ila huwa wanajifariji tu na suala la umri ambalo kwa upande wetu hatuna hiyo nafasi haswa kama unahitaji mtoto.
Hahaha ndo hawa wakizeeka wanasumbua watoto wa watu.Kabisa.
Hachelewi kukuambia anataka kuoa akishastafu [emoji23][emoji23]
Hatujakubaliana, au nawe una matatizo mengi?Hahahaha
Mi situmekubaliana kule kuwa sioi?
HahahHatujakubaliana, au nawe una matatizo mengi?
HahaaaHatujakubaliana, au nawe una matatizo mengi?
Duu.Hahah
Ndoa zina matatizo mengi kama stori ya yule jamaa ulivonisimulia.
Bora tu kuto oa.
Ni kweli kabisa maana tunawashuhudia ndugu zetu,marafiki na majirani. Hawa unakua unaujua uhalisia wao hivyo hawawezi kukuficha jambo. The pressure is real.Upo sahihi
Presha kwa wanaume pia huwa ni kubwa tuu
Hahahsaa...Ni kweli kabisa maana tunawashuhudia ndugu zetu,marafiki na majirani. Hawa unakua unaujua uhalisia wao hivyo hawawezi kukuficha jambo. The pressure is real.
Alafu sasa ndio hii "nataka kuoa ila sipati mke" imeshamiri kweli, wakati mkiulizwa huwa mnadai kigezo chenu ni chura tu, na vyura vimejaa tele!
Kama ndivyo ulivyoamua kwa dhati na utaishi ktk usafi na iwe hivyo mpendwa. Ila yasiwe maamuzi ya sizitaki mbichi hizi baadae ukiwa shahibu unaniambia nikutafutie mjukuu wa watu umbemende.Hahah
Ndoa zina matatizo mengi kama stori ya yule jamaa ulivonisimulia.
Bora tu kuto oa.
HahahahNi kweli kabisa maana tunawashuhudia ndugu zetu,marafiki na majirani. Hawa unakua unaujua uhalisia wao hivyo hawawezi kukuficha jambo. The pressure is real.
Alafu sasa ndio hii "nataka kuoa ila sipati mke" imeshamiri kweli, wakati mkiulizwa huwa mnadai kigezo chenu ni chura tu, na vyura wamejaa tele!
Ni kipi hakina matatizo mengi rafiki?? Chakula tu tunachokula chaweza kutudhuru hata kutupelekea mauti ila hatuachi kula bali tunatafuta kula healthy nk. Hivyo hivyo inatupasa kufanya ktk mambo mengine na ndoa ikiwemo.Hahah
Ndoa zina matatizo mengi kama stori ya yule jamaa ulivonisimulia.
Bora tu kuto oa.