agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
- Thread starter
- #21
Kanifundisha nikiwa darasa LA saba AKitendo cha mwalimu wako kuwa na miaka 40 ni kama mahesabu haya kai ujue
Kwa hiyo wewe miaka yako ni mingapi!!
[emoji15] [emoji15]
Kanifundisha nikiwa darasa LA saba AKitendo cha mwalimu wako kuwa na miaka 40 ni kama mahesabu haya kai ujue
Kwa hiyo wewe miaka yako ni mingapi!!
[emoji15] [emoji15]
Itakuwa yeye Ndo hafai.Huwez jua anataka nn bhana
Ukute ni list ya vigezo vingi. Kuna yule gavana wa Benko ya Kenya ana miama 58 hajawahi kuoa. Ana maisha mazuri ila nasema hakuwahi kumpata anaye mfaa.
Haya mambo yapo
HahahaKanifundisha nikiwa darasa LA saba A
Sasa hafai vipi mtu ana kila kitu ambacho kwa mwanaume ingefaa awe nacho.Itakuwa yeye Ndo hafai.
Sio yeye namjua. Yy ni andunje afu kifutuHiyo picha kwenye avatar ni yako?
Ungejiuliza wewe ujaolewa why asikwambie akuoe..!?? Kama ulivyo waruwaru, mvivu na mmbea huwa tunawakosa waliotimamu.Hivi ni kweli kuna mwanaume anakosa mwanamke wa kumuoa mpaka anakata tamaa ya kuwa na familia.?
Kuna Mwalimu wangu wa primary kwa sasa anakimbilia 40 lakini hana mke wala mtoto,ukipiga nae story mbili tatu lazima aingize habari ya kukosa mke..
huwa nakosa majibu ni kweli anakosa mke au ana tabia zinazomkosesha mke!?.
Sio rahisi...kakuona ndio msikilizaji wa masahibu yake,trust me hakuna mwanamke mwingine anayeambiwa hayo Zaidi yako which It can be predicted kuwa kakuona una qualities za kuwa mke wake kwa kuwa umsikivu,wewe jichekeshe chekeshe akipata more confidence in you atapropose.heheh
Ndoa ni zaidi ya mali ulizonazo.Sasa hafai vipi mtu ana kila kitu ambacho kwa mwanaume ingefaa awe nacho.
Kwani wewe huna vigezo ambavo ungetaka anaye kuoa awe navyo?
Hata Mimi nahisi kuna kitu.Huyu ticha kuna jambo ambalo linamtatiza lakini hataki kuliweka wazi ila anaishia tu kulalamika kuwa kakosa mke.
Laiti angekuwa muwazi, angeweza kushauriwa na kupata suluhu ya tatizo lake ambalo ni kikwazo cha kupata mwanamke wa kumuoa.
Lakini ndoa pia ni zaidi ha kuwepo wanawake lazima wa catch vigezo vyakeNdoa ni zaidi ya mali ulizonazo.
Ila angekuwa mwanamke mngesema anatabia mbaya ndomana aolewi.Wakati wa Bwana ukifika ataoa.
Vigezo vikizidi lazima uchemshe.Lakini ndoa pia ni zaidi ha kuwepo wanawake lazima wa catch vigezo vyake
Nimemwambia ajichunguze huenda yeye ni tatizo.Umemsaidiaje mwalimu wako kama mtu wa karibu yake?
Au mwalim kaona wewe ndio unafaa!!Vigezo vikizidi lazima uchemshe.